Chadema tegemeo letu, serikali yako kivuli inarudisha nyuma mageuzi to 2015, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema tegemeo letu, serikali yako kivuli inarudisha nyuma mageuzi to 2015,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, Mar 6, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Habari wan JF! Nimependa kuchukua fursa hii kukishauri chama chetu makini CDM ambacho ni tegemeo letu na tumaini letu jipya kwa sisi wanyonge, Mchango wa CDM ktk kuisimamia serikali ni mkubwa sana hata kwa kututetea sisi wanyonge chini ya serikali hii kiziwi. Tumeshuhudia juhudi kubwa zikifanywa na viongozi wa CDM kama, kamanda lema, Mnyika, Heche, Rais wetu slaa etc ktkt kutetea haki zetu tunaonyonywa na magamba( CCM), lakini hofu yangu ni juu ya hii serikali kivuli ya CDM ambayo ni serikali yetu mbadala haichukui its responsibility by 100% bkoz tumeshuhudia matukio mengi yakiikumba nchi mfano kuongezeka kwa idadi ya kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha 4, mgomo wa madaktari, vitendo viovu vya polisi kwa wananchi, etc' so ni vyema viongozi wa chama wakaliona swala hili ili chama chetu makini kiweze kujiongezea priority ya ushindi 2015, Naomba kuwasilisha.
   
 2. B

  BAGENI Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  you are right mkuu but tatizo ni hawa magamba waliolewa madaraka wakickia kidogo tu kuwa waziri kivuli ameshauri kitu utasikia wanataka nchi isitawalike,oo cdm wanawachochea wananchi kuandamana au kugoma ndio yanayokwamisha ushirika wao ktk serikali hii ya magamba.Pia wakubwa wa magamba wakishauriwa na cdm utasikia magamba wengine wanatoa lawama za kipumbavu eti wamesalitiwa! Kwa mtindo huu hawawezi kusaidia kwa kiasi hicho labda watumie njia ya kutoa misaada kama wanavyofanya wafadhili.MAGAMBA WENGI NI SLOW LEARNERS!
   
 3. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 1,236
  Trophy Points: 280
  Sijui kwenye kufeli kwa wanafunzi CDM itajiingiza vp coz si walimu na hawawezi kuongeza idadi ya walim mashulen au kununua vifaa vy kufundishia na kujifunzia....CDM si serikali kwa sasa ila inapotokea uonevu huwa inajaribu kushauri na kupigia kelele juu ya jambo husika bt si vinginevyo kuwa mawziri kivuli watatoa maamuzi yao serikalin na yakafuatwa.

  Serikali iliyopo madarakani inaelewa kila kitu na kila kitu kipo chini ya uwezo wao na wanauwezo wa kutekeleza kila kitu,ishu ni dhamira yao yenye wivu kwa maendeleo ya wananchi wa TZ
   
Loading...