CCM na Arumeru au madaktari na CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na Arumeru au madaktari na CCM?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MPAMBANAJI.COM, Mar 6, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Madaktari ndio hao wanatangaza mgomo,serikali nayoongozwa na CCM inashindwa kuwalipa na kuwasikiliza madaktari.Je ni bajeti kiasi gani itatumika ktk uchaguzi mdogo arumeru?na kama mwajiamini kwanini mkashawishi badala ya kuelekeza hilo fungu tarajiwa la bajeti kusaidia huduma muhimu za walalahoi?Na mtapungukiwa nini kuendesha kampeni za kawaida zaidi ya CMD wakati Watanzania wamewapa dhamana?

  CCM, Madaktari na Uchaguzi mdogo Arumeru, upi wakuvaliwa njuga? CCM ndo Serikali kwa sasa,angalieni hili
   
Loading...