Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna madaktari ambao wameingizwa kwenye payroll kwa mwezi machi mwaka huu, cha kushangaza wamewekewa shilingi laki mbili kila mmoja kama mshahara katika akaunti zao. Bila kujali viwango...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama cha Wananchi CUF, leo hii kimepata PIGO kubwa baada ya kile wanachojivunia kuwa NGOME yake kuu kuvunjwa na wanachama zaidi kujitoa katika kile wanachodai "chama kukosa muelekeo wa kisiasa na...
4 Reactions
98 Replies
9K Views
Akina mama wa Mtwivila wakijipanga kununua kadi za CHADEMA Iringa jana. Source: Mbunge Wako Iringa Mjini
11 Reactions
71 Replies
12K Views
Nimeona itv wanafunzi wa muhimbili wakiwa wizarani kwa Mkurugenzi kwa madai ya kulazwa njaa kwa siku saba. Mungu wa hivi wizara ya Afya ina bundi gani? au cdm imezuia chakula?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JK: Polisi aliyetinga disko na SMG afutwe Send to a friend Tuesday, 06 March 2012 20:54 Chanzo: Mwananchi Rehema Matowo, Moshi Rais Jakaya Kikwete amesema matendo ya utovu wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mgomo wa madaktari ni zaidi ya migomo ya kada zingine zote. inahusu uhai wa watu eti! mwalimu akigoma.....wanafunzi hawatapoteza maisha, wafanyakazi wengine wakigoma, wataathiri uchumi wa nchi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika kupitia magazeti hapa na pale nikakutana nakauli iliyotolewa na CUF kumtaka KIKWETE kuvunja baraza la mawaziri kwa uozo lililonao.Mwananchi 16/february,2012.juzi chadema nao wakarudia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kauli za mh. waziri mkuu “Jambo hili ni la Rais. Hivi ifike mahali tumpe Rais saa 72 kwa sababu eti umebeba maisha ya watu? Mimi hilo siliafiki hata Rais hawezi kuliafiki. Hata angekuwa mtu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamii ule msafara wa ccm kumsindikiza Siyoi kuchukua fomu umejikuta katika aibu kubwa baada ya kujikuta ukizomewa njia nzima na wakazi wa maeneo walipopita kwa kwenda na kurudi huku wakazi hao...
5 Reactions
98 Replies
9K Views
Waziri kivuli wa afya kajificha huku raia washaanza kufa kutokana na mgomo wa madaktari sasa cha kujiuliza kwa nini amekuwa invisble bila sababu za msingi? Kwa kukaa kimya inamaana anatekeleza...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Rais wa chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Namala Mkopi ametangaza kuanza kwa mgomo wa Madaktari usio na ukomo, kote nchini Tanzania. Mgomo huo unaishinikiza Serikali kuwafukuza kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
....Kwa wale wanaoamini katika Mungu..yaani waislamu na wakristo watakubaliana nami kuwa Mungu hakubaliani na watu wanakandamiza haki za watu wengine hasa maskini...kwa wale wakristo kama mimi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
KWA WANACHADEMA WOTE NA WAPENZ WA SIASA..TUtarudisha form siku ya alhamisi na tutazindua rasmi kampeni zetu siku ya jumamosi kwa mujibu wa mapendekezo ya ratiba ya awali. Wale mlioko ndani ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu wanaJF Leo ndiyo ile siku ambayo madaktari waliweka wazi kuwa watagoma endapo serekali itashindwa kuwasimamisha kazi mawaziri wa afya. Napost uzi huu ili kujua hali ikoje kwa wale walio...
0 Reactions
89 Replies
8K Views
Hali ya nchi hivi sasa inaelekea siko kufuatia mgomo mpya uliotangazwa na Madaktari. Wataalamu hawa ambao wamesomeshwa kwa gharama kubwa na serikali walimtikisa pinda kipindi kilichopita kiasi cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Poll Poll
:welcome:Habari zenu wadau, Napenda kuchukua nafasi hii, kutoa maoni yangu kuhusiana na pantoni zetu za Dar na hata za mikoani. Wahusika mpatapo mawazo haya ni vema mkayafanyia kazi kwa yale...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tunavyozungumza wananchi wa kata za moshono na mlangarini wapatao 5000 Wanaandamana kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa arusha kufuatia kunyanga'nywa ardhi yao na JWTZ bila fidia kama walivyoafikiana...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Naomba kwanza usome maelezo yote kabla ya kuchangia lolote! Kutokana na mabadiliko ya technlojia kwa sasa 2012 tungependa kuona kila jambo linaloendana na TECH linafanyika au likishindikana...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo asubuhi nimeona msafara wa magari manne yaliyojaa askari na gari la maji ya kuwasha yakielekea njia ya Chalinze-Segera nilipofuatilia nimegundua ni askari wa Ukonga na wengine wa Pwani na...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
kuna mdau kaanzisha mada kwenye jukwaa la siasa ambayo kwa maoni yangu ilibidi iwe huku,ili ijadiliwe hapa badala ya jukwaa la siasa naomba tuijadili vizuri iko hapa...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…