Hii sio foleni ya maji, ni akina mama wakipanga folen kununua kadi za CHADEMA

kamandamakini

Senior Member
Feb 17, 2012
165
137
IMG_0922.jpg

Akina mama wa Mtwivila wakijipanga kununua kadi za CHADEMA Iringa jana.

Source: Mbunge Wako Iringa Mjini

 
Safi sana. Naona sasa ule 'mtaji' wa magamba unazidi kupungua...
 
una uhakika gani huo mstari ulikuwa wa kwenda kununua kadi na sio kugawiwa sukari? lete picha wakipokea kadi!!
 
una uhakika gani huo mstari ulikuwa wa kwenda kununua kadi na sio kugawiwa sukari? lete picha wakipokea kadi!!

subiri tu uhakika utauona 2015 kwani sukari watu wanapanga foleni tena siku hizi? 2600 ya nini kuipangia foleni watu wanajinywea uji wao saaafi!
 
una uhakika gani huo mstari ulikuwa wa kwenda kununua kadi na sio kugawiwa sukari? lete picha wakipokea kadi!!

MKUU,
Umwekewa 'linki' ya source yenye picha lukuki lakini hutaki kuifungua , unaogopa nini?

Hapa Mbunge na CHADEMA wanastahili kila pongezi kwa kushawishi wananchi wa Iringa Mjini kuwa maendeleo yanaweza kupatikana kupitia CHADEMA amabyo ni tumaini jipya kwa mwananchi wa kawaida anayeumizwa na sera mbovu za CCM.
 
vip umeogopa?

sio kwamba kaogopa au yeye ni magamba lakini hata kama akiwa magamba haimuondolei haki ya kudai source.
Tunaka source ama weka picha inayoonesha kadi. Sio unaweka foleni za kliniki halafu unataka kutuaminisha utakavyo! Nani kasema habari za cdm hazihitaji uthibitisho hapa? Au kusema "source mbunge wako..." ndio source? Ikumbukwe sote twaitaji mabadiriko ila si kihivyo.
 
Kazi ya Mbunge ni kugawa kadi! Iringa mjini mmeliwa ile Mbaya! Hamna Mbunge kabisa!

wabunge mnao nyie wanaowawakilisha bungeni kwa kuchapa usingizi,na wengine wakiwa nje ya bunge kwa kutunga nyimbo za kumsifia jk na c.c.m... Bure kabisa
 
Back
Top Bottom