Hii husababisha migomo kwa madaktari - Walipwa mshahara wa laki mbili kila mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii husababisha migomo kwa madaktari - Walipwa mshahara wa laki mbili kila mmoja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ozzie, Mar 7, 2012.

 1. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kuna madaktari ambao wameingizwa kwenye payroll kwa mwezi machi mwaka huu, cha kushangaza wamewekewa shilingi laki mbili kila mmoja kama mshahara katika akaunti zao. Bila kujali viwango wanavyopaswa kulipwa, kila mtu kapewa kiasi hicho (ingawa kima cha chini take home inatakiwa kuwa angalau laki 5 baada ya makato). Wizara ya afya inadai kuwa mshahara huo umetoka hazina hivyo hivyo. Inadaiwa huwa ni vigumu kuomba kurudishiwa kiasi hicho walichokipiga panga.
   
 2. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Haya ya kweli lakini?
   
 3. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Huamini kwa kuwa ni jambo la ajabu, lakini ndiyo hivyo. Mdogo wangu ni mmoja wa waathirika.
   
 4. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmmmm!!!
   
 5. K

  Kaseisi Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona hilo linaongeleka. Ambalo haliongeleki ni Suala la Haji Mponda Lucy na si vinginevyo
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni nini?
   
Loading...