Takukuru wamwagwa vijijini Arumeru

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Leo nilikuwa kata ya makiba wilayani arumeru,sijaamini kuona maafisa wa takukuru wakiwa wamevaa sare za ccm wakiranda mitaani huku mitego ikiwa mingi kinoma.sisi kama chadema tulikuwa ktk harakati zetu za kawaida.
 
Hawana lolote hao wapo kuisadia CCM!!! Walidai wamekamata ushahidi wa Sioi kujihusisha na rushwa cha ajabu hadi leo hakuna hatua wamechukua!!! Hii taasisi haina maana kwa watanzania.
 
Wamwagwe huko huko maana ndiyo mazalia ya rushwa yalipo. CDM naamini hawana cha kuhonga zaidi ya falsafa yao ya nguvu ya umma.
 
Hawana lolote hao wapo kuisadia CCM!!! Walidai wamekamata ushahidi wa Sioi kujihusisha na rushwa cha ajabu hadi leo hakuna hatua wamechukua!!! Hii taasisi haina maana kwa watanzania.

Ni kama kijibwa koko kisicho na meno halafu unakitegemea kwa uwindaji lol.
 
Duh tulikuwa makini sana wasije wakatushikisha maana si mnajua makamanda hata ela ya kula tabu licha kutoa rushwa,wapo mpaka mbuguni
 
Na kura watapiga japo wengine si wakaz wa huko. CHADEMA endeleeni kuwakamata na kuwasweka kwa umma waumbuke kisha pelekeni police bila kujali msaada wao.
 
Hivi kuna uwezekano kuwa hawa TAKUKURU wanatumiwa na CCM kugawa rushwa lakini wanajidai wako kukamata watoa rushwa?
 
Leo nilikuwa kata ya makiba wilayani arumeru,sijaamini kuona maafisa wa takukuru wakiwa wamevaa sare za ccm wakiranda mitaani huku mitego ikiwa mingi kinoma.sisi kama chadema tulikuwa ktk harakati zetu za kawaida.
wameenda kula posho tu hakuna chochote
 
hawa wanatumiwa kuweka mambo sawa ili chadema wajue wanafanya kazi kumbe wanawazunguka,take care chadema
 
Back
Top Bottom