Tanzania ya leo..2012.-utawala bora. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ya leo..2012.-utawala bora.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrahim K. Chiki, Mar 8, 2012.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha kuona tanzania ya leo viongozi wake uwezo wao wa kufikiria umegota ukingoni, hawatambui majukumu yao, na wala jinsi ya kutimiza wajibu wao.. Zaidi ni kuangaliana usoni na kulindana kwa manufaaaa ya watu wachache...huku mwananchi wa kawaida akiendelea kuteseka...afu tunaambiwa utawala bora.
   
Loading...