utawala bora na utitiri wa migomo Tanzania does it make sense? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utawala bora na utitiri wa migomo Tanzania does it make sense?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaelenga, Mar 8, 2012.

 1. K

  Kaelenga Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  napata mashaka na jitihada za viongozi wa juu wa kisiasa Tanzania kujionesha wasafi mbele ya macho ya mataifa mengine wakati hali ndani ya nchi kiutendaji si shwari na ni uozo kila kona unayo gusa, kuanzia kwa wanafunzi mpaka wafanyakazi! hali hii inajieleza vipi katika report ya utawala bora?
   
Loading...