Vipo virusi vya CCM ndani ya upinzani CHADEMA chukueni tahadhari jinsi ya kuishi navyo

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Nimesoma makala Mzee Tegambwage leo ikanibidi niandike kuishauri CHADEMA. Mzee huyu anasema vipo virusi vya CCM ndani ya Upinzani, anasema ili kutambua virusi hivyo ni pale ukamwona mtu ambaye ni kiongozi ndani ya chama chake cha upinzani lakini wakati wa kampeni badala ya kumpigia kampeni mteule wa chama chake yeye anampigia kampeni mteule wa CCM. Kwa msingi huo tajeni virusi vilivyo ndani ya CHADEMA ili tuanze kuishi navya kwa matumaini naanza na:
  1. Shibuda ni kirusi
 
slaa, kwa maana hafiti kwenye kipengele cha ukabila. (he is a foreign particle in the body)
 
Watetezi wote wa CDM katika masuala ya kijinga ni virus pia.Matumizi mabaya ya ruzuku ya chama,kumrundikia kiongozi mmoja madaraka mengi pia ni virus.
 
Zitto naye kirusi bkoz siku hizi anavaa kombat nyeusi ili kujitofautisha na wenzake, hashirikiani kikamilifu na wacdm wenzake na badala yake mda wake mwingi anakuwa benet na magamba, ana kauli za utata mfano huwa anasema eti ueue hupenda kusema maneno yale wasiopenda wa2 kusikia kama vile alivyomtetea Nape, sherehe za ikulu yeye ndo kama mc, yeye ndo mr. Dowans, mara atagombea urais 2015, kutokutoja nje ya bunge am bapo wezanke walitoka etc, Jamani mm kama mwanachadema nimechoka na tabia ya huyu kijana ya undumilakuwili na huo ndo ukweli bkzo mara kumi hata ya shibuda ambaye yeye ni mwana ccm anajulikana kuliko huyu zitto amabaye ni kiongozi mku wa chama.
 
Nina mashaka na aliyekufundisha maana ya upinzani. Upinzani siyo uadui kwamba eti kwa sababu wewe uko CDM ni haramu kuwa na urafiki na mtu yeyote na mtu wa CCM. Zitto ni mwanasiasa kijana ambaye anayo haki ya kuwa na marafiki kama kijana mwingine.
Kuhusu Zitto kutoa kauli ya kutaka kugombea urais sioni shida juu ya hilo. Zitto ni mwanachadema, mtanzania, mwenye haki ya kikatiba ya kutoa maoni na kubwa zaidi haki ya kugombea uongozi, shida yake ni nini hata akitoa mawazo yake aonekane msaliti? Kama tunahubiri demokrasia, haki, umoja na usawa basi tuanze demokrasia ndani ya CDM kwa kutoa nafasi kwa kila mwanachama kutoa mawazo yake nakuwa huru kugombea.
Kuhusu Zitto kuvaa gwanda jeusi hilo nalo siwezi kulisemea kwani limekaa kimbeambea sana.
 
Zitto naye kirusi bkoz siku hizi anavaa kombat nyeusi ili kujitofautisha na wenzake, hashirikiani kikamilifu na wacdm wenzake na badala yake mda wake mwingi anakuwa benet na magamba, ana kauli za utata mfano huwa anasema eti ueue hupenda kusema maneno yale wasiopenda wa2 kusikia kama vile alivyomtetea Nape, sherehe za ikulu yeye ndo kama mc, yeye ndo mr. Dowans, mara atagombea urais 2015, kutokutoja nje ya bunge am bapo wezanke walitoka etc, Jamani mm kama mwanachadema nimechoka na tabia ya huyu kijana ya undumilakuwili na huo ndo ukweli bkzo mara kumi hata ya shibuda ambaye yeye ni mwana ccm anajulikana kuliko huyu zitto amabaye ni kiongozi mku wa chama.
Too low kwa great thinker.
 
Zitto Kabwe (a close friend to R.A na E.L) ila uzuri kirusi hiki kilishagundulika,kilijaribu kutingisha na kukivuruga chama kikashindwa mpaka mama yake mzazi akakionya kifuate maadili ya chama, kirusi namba 2 ni Shibuda hiki hakina haja ya maelezo,kiko wazi kabisa
 
Mzee wala hivyo siyo virus nakataa.
 
Zitto Kabwe (a close friend to R.A na E.L) ila uzuri kirusi hiki kilishagundulika,kilijaribu kutingisha na kukivuruga chama kikashindwa mpaka mama yake mzazi akakionya kifuate maadili ya chama, kirusi namba 2 ni Shibuda hiki hakina haja ya maelezo,kiko wazi kabisa

Hivi kwani kutaka kugombea uenyekiti wa Chama ni kutaka kukivuruga? Hapa ndipo panaponikera sana ndani ya CDM. Kumuita mtu msaliti eti kwa sababu alitaka kuitumia haki yake ya kugombea? Demokrasia iko wapi sasa? Au wewe nae ndio mmoja wa wale waumini wa Ukanda ndani ya CDM?
Zitto ni mtu makini ambaye hapendi kupelekeshwa na ambaye anajua kufuata taratibu na ndio maana anawanyima raha baadhi ya masnitch wanaotaka kufanya CDM chama cha kikanda.
 
mkuu na mimi nakuunga mkono, demokrasia sio uadui, siasa ni kurekebishana kwa ajili ya kuleta ufanisi kwa Taifa. Zitto kutangaza kugombea urais sio dhambi wala kosa. Bali ni haki yake ya msingi,na tena sio kigezo cha kuitwa eti kirusi, kil mmoja anao uhuru wa kutoa mtazamo wake.
 
Back
Top Bottom