Jk na ripoti utawala bora na vifo vya migomo hospitalini

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,833
2,790
CCM na Kikwete hamna huruma kiasi hicho? Take a break and think of your God father Slogan MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Yes you have failed BUT SHOW UP YOU ARE GOOD HUMAN BEING. Thank you Mr. President JK.
 
Hana lolote huyo mr .president anasubiri watu wafe ndio aje na upuuzi wa eti itachukua muda mrefu kusahau issue ya mgomo wa madaktari si ajabu ukasikia kesho anaenda marekani kutembea,ninachukia aina hii ya uongozi,na walimu nao wanakuja sijui atakimbia nchi
 
CCM na Kikwete hamna huruma kiasi hicho? Take a break and think of your God father Slogan MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Yes you have failed BUT SHOW UP YOU ARE GOOD HUMAN BEING. Thank you Mr. President JK.

Bad governance, I should say. Madaktari wamegoma, wakulima wamegoma ( hawajalipwa mazao Yao) wanafunzi hawajala wiki nzima hela hakuna hela, wazee wa jumuiya ya Africa mashariki wanagoma kila siku kesi Yao ikiitwa mahakamani, wanafunzi wa vyuo vikuu hawalipiwi na serikali na wanaolipiwa wanagoma kila mwezi, waalimu wanagoma. Rais Naye kagoma hataki kufanya kazi aliyotumwa na waliomchagua.

Utawala bora uko wapi siuoni hata chembe !!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom