Chuo Kikuu Muhimbili chasitisha masomo kwa kukosa chakula | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo Kikuu Muhimbili chasitisha masomo kwa kukosa chakula

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by drgeorge, Mar 6, 2012.

 1. d

  drgeorge Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo ni siku ya pili wanafunzi wa chuo kikuu cha Muhimbili (IHAS) hawajaingia madarasani au wodini kufundishwa kwa kile kinachodaiwa kuwa chuo hakina chakula kwa ajili ya wanafunzi. Chuo kilifunguliwa jana Jumatatu lakini hakuna kusoma kwa wasababu hakuna chakula.

  Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ndiyo yenye wajibu wa kutoa fedha kwa ajili ya chakula. Mkurugenzi wa IHAS alifika Wizarani (MoHSW) jana na haijafahamika mara moja aliambiwa nini ila hakuna matumaini kwa sasa, Wizara haina fedha.

  Uongozi wa chuo unakwepa hata kukutana na wanafunzi na hakuna kinachoelezwa. Wanafunzi hao wanaosoma kozi mbalimbali za afya, kama uuguzi, ufamasia, elimu ya mionzi, sayansi ya baabara n.k hawajui nini cha kufanya huku wanaoishi jijini Dar wakirudi majumbani.

  Hali si shwari kwa baadhi yao hasa wanaotoka nje ya Dar kwani wanaishi kwa kuwaomba wenzao wanaishi jijini au angalau wenye vijipesa kuwasaidia kupata chakula.

  Waziri na Naibu Waziri wake, sijui wanalipi la kutueleza kwa sasa.

  Taarifa hizi zinatoka ndani ya chuo hicho kwa wanafunzi wenyewe na baadhi ya viongozi wa chuo kwa sharti lakutotajwa majina au nyadhifa zao wenye uchungu na mateso wanayopata wanafunzi pamoja na kuzorotehwa kwa elimu nchini.

  Binafsi niombe muhimili wa nne wa Taifa yaani Waandishi wa habari kufika chuoni hapo Muhimbi Institute ya Allied Sciences (IHAS) kudodosa na kuwapatia watanzania habari hizi.

  Inaniuma sana...
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,755
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Too sad!!
   
 3. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Guess ni MTC,POLENI serikali imefilisika sijui kodi inaenda wapi,postgraduate MUHAS imeahidi nkutotoa results za Univery examination hadi school fees zilipwe,mgomo kesho ndo maisha sijui yanaelekea wapi,Gadaffi alionewa sana.
   
 4. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Tanzania tunaelekea wapi? Maisha Bora kwa kila Mtanzania ndo hayo
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  It's a shame.
   
 6. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Haiwezekani kupoteza mawaziri wawili kwa sababu ya maumivu ya mamilioni ya watanzania. (mtazamo wa viongozi wetu)
   
 7. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 723
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Muhimbili Technical College (MTC) ndio walio katika athari ya moja kwa moja ya ukata huu, sababu wao hupikiwa chakula moja kwa moja kutoka kantini za college na hukatwa kwenye ada zao. Wanafunzi wetu wa Muhimbili University wao wanaendelea na mafunzo kama kawaida, na hujilipia chakula wenyewe kantini. Ila ukata huu ukiendelea naamini nao wataathirika, maana wanategemea boom ambalo halijaingia mpaka sasa na bodi haijatoa taarifa zozote na wala haijibu tukijaribu kuwasiliana nao.
   
 8. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,344
  Likes Received: 1,058
  Trophy Points: 280
  Tooobaaah yahlaah!!
   
 9. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Papaa Baba Mwanahasha! Umesikia wanao wapo kazini!!
   
 10. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hivi MUHAS chakula wanapewa kawa shule za bweni au wananunua wenyewe kama vyuo vingine? Au ndio tuseme HESLB wamekuwa Wizara ya Afya?
   
 11. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hii sio sawa hata kidogo! lazima hatua za haraka zichukuliwe....
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  wanafunzi wanapewa mkopo hawapewi chakula mbona hii haijakaa vema?
   
 13. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  badala ya madaktari kugoma wangeona na wengine wanahitaji kusikilizwa kama hawa wanafunzi
   
 14. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Wewe yaonyesha ni mwanajamii wa MUHAS lakini tatizo lako hujui mazingira wala taasisi zilizopo hapo kwenu. Je! Umetoka shule za kata?

  Mwenzako hapo juv kafafanua vizuri tu.

  Si kweli MTC ni Muhimbili Technical College (ulikuwa mvivu kufikiri hata kwenye kuangalia ulinganifu wa kimaana)

  MTC ni Muhimbili Training Centre.
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Angelikuwepo dada FF angelisema mnamuonea Muislaam.......
   
 16. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 940
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hii Habari ni kweli nina Binti yangu karudi home anasema hakuna chakula na canteen zimefungwa toka jana!!
   
 17. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  mkazo ni kuimalisha chama na sio elimu!
   
 18. t

  tracy wa NJIRO Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa kwani hawapewi buum au ndo ka sekondari
   
 19. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  mhh kaz kwelikwel wizara haina pesa au? Maana sasa hv hata mfumo wa maombi ya kujiunga na koz mbal mbal za afya umebadilika kabisa bila ya kulipia 4m ya maombi kias cha sh. 15,000 ndo maomb yako yafike sehemu husika.
  Kwa hal hii 2tafika ss wa2 wa vijijin kwel?
   
 20. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Kuna watu ni Freemasons. Hawachukui hatua, na wenzao wakichukua hatua nzuri za kuokoa jahazi wao wanazuia............... nina hasira hivyo siongei sana
   
Loading...