Baada ya Mgomo wa Madaktari: Mgomo wa Wanasheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Mgomo wa Madaktari: Mgomo wa Wanasheria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Mar 7, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Tunasubiri outcome ya mgomo wa madaktari. Ukifanikiwa kumtoa Mponda na Lucy, utafuatia Mgomo wa wanasheria, wakishinikiza Kombani na Chande wajiuzulu. Wahusika watakuwa majaji, mahakimu na mawakili, agenda yao kuu itakuwa Posho na marupurupu. Ukifanikiwa tu, mgomo wa waalimu kumshinikiza waziri wa Elimu kubwaga manyanga. Baada ya taasisi zote kufuata taratibu hizi, kitakachobaki niku compile taarifa ya kila taasisi na kuungana pamoja, unaanzishwa mgomo wa kwenda kumwondoa Mkulu Magogoni. Pinda is always seems failure. He could have handled this out early in time. Mungu ibariki Tanzania ya watu walio na wasiostaarabika
   
 2. s

  sent items Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawazo ya mtoto wa chekechea hayo.
   
 3. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hadithi za abunuwasi.
   
 4. s

  sent items Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na bulicheka.
   
 5. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 8,262
  Likes Received: 3,095
  Trophy Points: 280
  Hahahaha...... ni kama yote yakifanikiwa basi kitakachofuata ni sisi wananchi kugoma kulipa kodi maana ndiyo zinazowatia wazimu.... hahahahahaha
   
 6. z

  zee la weza Senior Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  maku lako
   
 7. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  bila kusahau kuwa mgomo wetu kama wananchi utahusisha maandamano ya kumshinikiza raisi ajiuzulu
   
 8. K

  Kaseisi Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama Ma Dr. watafanikiwa kwenye kuwaondoka Waziri na Naibu, Migomo itakayofuatia vyuo vikuu ilenge kuwaondoa wakuu wa vyuo mamluki waliokuwa wakipiga mabomu watu. Waalimu wawaondoke mawaziri wizarani, na vibaka waandamane kuondoka polisi ambao wamekuwa wakiwaua kwa visingizio mbalimbali, vipi wanajeshi na mabomu nao waandamane kumuondoa Mwinyi, Wabunge waandamane kumuondoa spika anayeropoka kuwa wanataka kuacha ubunge, hapa sioni mwisho, itakuwa kuondoana tu.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Kugoma kulipa kodi haitoshi Mkuu.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  kila ajifananishaye na mtoto mdogo ufalme wa mbinguni ni wake
   
 11. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ikiwezekana serikali yote iondoke madarakani kwa wakati mmoja kwani imeshindwa kazi kabisa!!!
   
 12. s

  sent items Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dunia yako Maisha yako epuka kunywa gongo.
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  msamehe tu mkuu, akili za kilauri hizo
   
 14. s

  sent items Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli mpuuzi sana mtu anaandika matusi badala ya kumuonya wewe unamshambulia anaetukanwa.
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mgomo wa wanaJF utafuata. JF itafungwa kwa wiki mbili hadi pale serikali itakaposikia kilio chetu
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wanasheria ndio chanzo kikuu cha matatizo ya dunia
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  vitabu vya Abunwasi bado vipo?
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Utumwa wa akili ni mbaya.
  Mwanaasha style!
  Huwezi kuja hapa kwa akili zako,
  Lazima uwe umetumwa.
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Home economics!
  I can bet washachana marinda long time kitambo
   
 20. s

  sent items Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe dada bigirita madame rita.
   
Loading...