"wanaotetea vyama visivyo na dira wana lengo la kuimaliza tanzania" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"wanaotetea vyama visivyo na dira wana lengo la kuimaliza tanzania"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rabi wa Leo, Mar 8, 2012.

 1. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni vema tukijikumbusha kuwa,Katika Uchaguzi mkuu 2010,tulikua na takribani vyama 21 vilivyokua vinashiriki ktk nyanja tofauti.Lakini leo ukimwomba mtu akutajie vyama anavyovijua havizidi vitano.Wakati fulani ni lazima tutambue kua,vipo vyama vya siasa ambavyo ama VIMEPOTEZA DIRA ama HAVINA KABISA DIRA na nia ya dhati kuleta mabadiliko.Hii inaweza kuthibitishwa na yafuatayo;
  >Hatuvioni katika kukemea uovu dhidi ya wananchi,
  >havitoi matamko yenye mshiko juu ya matukio makubwa katika nchi,
  >HAVINA OFISI POPOTE,nyaraka zao zinapatikana majumbani mwa viongozi wa chama
  >Havina viongozi makini wenye tumaini la kubadili hali mbaya popote inapotokea
  >Vimejengwa katika misingi imara ya Kidini,kindugu,kikabila,kikanda au kiimani
  >Havina itikadi imara za kukitambulisha
  >Katiba zao zinabaki siri kwao peke yao
  Pamoja na hayo,vyama hivi vinashiriki katika Chaguzi mbalimbali za nchi na bado vina wafuasi wanaoweza pia wafuasi kwa katika misingi ile ile ya Kidini,kindugu,kikabila,kikanda au kiimani.
  SWALI LANGU:
  Mnaovisupport vyama hivi,mna lengo la kuiponya au kuiangamiza Tanzania?
   
 2. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wakati mwingine kwa support tunazotoa vinaweza kumpeleka kiongozi dhaifu bungeni,umeya katika halmashauri na nafasi nyingine muhimu..hali hii ikitokea unaweza kutabiri nini kitafuata..
   
 3. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Na kwanini kuna vyama viko active kwenye uchaguzi tu?
   
 4. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hebu jibuni nyie mnao visupport vyama hivi.tuone mnajibu vipi?
   
 5. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Na vipo vingine ambavyo ni 'VIKONGWE' na vimekwepo kwa muda mrefu lakini vinapoteza dira kabisa.tunaovisupport tunajenga au tunabomoa?
   
 6. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mr busta,tena ukiwakuta katika vilinge vya hoja wanajitahidi kuvipamba kwelikweli...
   
 7. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  85% ya maelezo yako - especially heading - yana-define ccm! Haya wana magamba tuambieni!
   
 8. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sijawa specific sana,ila kwa kuwa tunao wafuasi wa vyama mbalimbali,kila mtu akiexamine chama chake atupe mawazo.najua WAPO WASIO NA VYAMA..wao pia watupe mawazo yao juu ya huu ufuasi wa mkumbo usiotazama ufanisi.
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hao tisa kumi ni wanaosapoti ccm,kwangu mimi ni bora tpp maendeleo kuliko ccm.
  uchafu uliofanyika arumeru mwenyekiti wao kaweka baraka zote na huyohuyo ndiye rahis wetu(hata kama hatutaki)
  leo kuwa mwanachama hata wa anc hata kama si ya nchi hii mi naona sawa tu maana utakuwa umeiponya roho yako na unafiki,wizi na dhulma dhidi ya tanzania na watu wake.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hata MBUYU ulianza kama MCHICHA
   
Loading...