Unadhani Madaktari Wanaogoma si Wazalendo.....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unadhani Madaktari Wanaogoma si Wazalendo.....?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtoboasiri, Mar 7, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ....kama jibu lako ni "NDIYO" then chagua kipi bora kati ya haya mawili (na ukumbuke kuwa sekta ya afya - kama zilivyo karibu sekta zote - ni kuwa inakaribia ku-collapse kabisa kutokana na uongozi mbovu, wizi, ubadhilifu pamoja na serikali kuwa wrong priorities):


  1. Madaktari wasigome lakini bado wagonjwa wafe (kwa kuwa hakuna zana za kufanyia kazi, hakuna madawa na madaktari wamekatishwa tamaa na hawana morali ya kufanya kazi yao dilligently na serikali iendelee kuboronga kama ilinavyofanya). For sure kwa option hii serikali haitashughulikia chochote ILA ITAAHIDI kushughulikia kama ambavyo imekuwa inaahidi siku zote bila utekelezaji.
  2. Madaktari wagome, wagonjwa wafe (just like in option 1 above) lakini serikali ILAZIMIKE KUFANYA MABADILIKO CHANYA katika uendeshaji ili madawa na vifaa vipatikane na madaktari wapate moyo wa kufanya kazi and eventually wagonjwa in future wapewe huduma stahiki?

  Note: Suala la wagonjwa kufa haliepukiki in short term, kwa kuwa daktari hatafanya muujiza kumponyesha mgonjwa bila dawa na vifaa vingine muhimu katika kazi yake. HOJA ni what is the long-term impact kwa wagonjwa.
   
 2. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  option 2 inafaa mkuu
   
 3. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mbona sijaona option inayohusiana na kufukuzwa kwa Mponda na Nkya? Sababu for the mean time tunachojua madaktari wamegoma kwa sababu JK hajamsimamisha Mponda na Nkya. Sioni kama kinachopiganiwa ni kuboresha mazingira bali ni kuilazimisha serikali kuwasimamisha Political figures wa wizara ya afya.
  Would you mind to show me the connections betwen the suck out of Mponda and the so called mabadiliko chanya?! Ama leo hii akiwekwa Stephen Ulimboka kama waziri wa Afya na wewe ukipewa unaibu waziri mtafanyaje?
  Mwisho, yawezekana madaktari mna point nzuri katika maamuzi yenu, hebu tufafanulie kwa kina maana naamini wengi bado hatujawaelewa na mnaonekana kama wanasiasa mnaotumia vifo vya watu kufanya shughuli zenu za kisiasa.
   
 4. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hivi kuna gharama gani za kumsimamisha kazi Nkya na Mponda?hata kama ningekua ndo mm siwezi kufanya kazi na mtu ambaye ndo kikwazo kwenye section yangu mgomo ndo suluhisho madhara yapo coz kila mgomo una side effect yake hapa tunaona jinsi rais alivyo kilaza wa kufikiri maana huwezi ukawabeba watu wawili ambao hawakubaliki na wafanyakazi wenzake
   
 5. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  option 2 Correcty
   
 6. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Option 2 ndio suluhisho la kudum la matatizo kwenye sekta ya afya ingawa inaumiza sana.
   
 7. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa mantiki nyepesi, madaktari wanagoma ili mazingira ya kufanyia kazi yaboreshwe. Dhana ya msingi ni mazingira ya kufanyia kazi ambayo inahusisha uongozi bora, maslahi pamoja na vifaa vya kufanyia hizo kazi. Serikali imeahidi kutekeleza lakini madaktari hawatakua na uhusiano mzuri na uongozi wao (mganga mkuu, katibu mkuu n.k.) ambao kimsingi ulifanya wafikie hatua ya kugoma. Nimejitahidi kujibu swali lako kwa kifupi sana, natumai nimeeleweka.
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,435
  Trophy Points: 280
  Option 2 sir.. na nadhani ndio inayoendelea
   
 9. m

  mwarain Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Option 2 bila chenga!
   
 10. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Although you pretend to be dumb I'll nevertheless explain to you (japo naamini unakielewa kinachosemwa hapa isipokuwa tu unasukumwa na ulichotumwa kukifanya hapa).

  Madaktari hawagomi ili kushinikiza waziri/naibu waziri wa afya watoke, WANAHITAJI MAZINGIRA BORA YA KUFANYA KAZI PAMOJA NA KULIPWA STAHILI ZAO WALIZOKWISHA KUAHIDIWA LAKINI HAZITIMIZWI.

  The problem is Mponda/Nkya/Nyoni/Mtasiwa HAWAKUWA TAYARI KUSHUGHULIKIA MATATIZO YALIYOPO. Kwa kauli zao wanasema kila kitu ni shwari - refer kauli ya Mponda bungeni kuhusiana na sakata hili- which means KWAO THERE IS NO PROBLEM na HALI YA SASA NDIO IENDELEE. Sasa utafanyaje kazi na mtu anaekataa kutatua matatizo yanayozingira kazi zako?

  Proof ya ninachokisema: Pinda aliwasimamisha Nyoni na Mtasiwa na AKASEMA MWENYEWE kuwa amewasilisha mapendekezo kwa bosi wake kikwete ili waziri/naibu waziri wachukuliwe hatua kwa kuwa wao wanawajibika kwa kikwete. Kwa nini aliwasimamisha na kutoa ahadi hiyo?

  So what happens next? Pinda anakana kauli zake mwenyewe, again which means nae haoni kuwa kuna tatizo kwa sasa maana ameshachukua hatua sahihi - kumbuka amesema "ameshayashughulikia matatizo ya madaktari KWA KUAHIRISHA SAFARI YAKE DODOMA". Na haoni sababu ya Mponda/Nkya kujiuzulu (Kwa kauli yake mwenyewe "Wajiuzulu kwa lipi? kwanza Mponda mwenyewe ana mwaka na nusu tu hapo wizarani"). Which means anaridhika na status quo ambayo ni uozo uliopo - uhaba wa dawa na vifaa uendelee, matumizi mabovu ya fedha yaendelee na madaktari WAENDELEE KUHUDHURIA KAZINI WAKIWA WANASHUHUDIA WAGONJWA WANAKUFA kwa kukosa matibabu huku Madaktari wenyewe WAKIWA WANAAMBUKIZWA MAGONJWA KWA KUFANYA KAZI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI.

  MTU GANI MWENYE AKILI TIMAMU ataamini ahadi zake tena? NANI ANA HAKI YA KUWANYIMA STAHILI ZAO WAGONJWA NA MADAKTARI???
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  A five star rated response mkuu. Unfortunately huyo muuliza swali ni UWT, kwa hiyo atataka kupotosha ili kulinda interest za mabwana zake waliomtuma!
   
 12. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wewe ndiye peke yako na washikaji wako ambao hamtaki kuelewa ukweli ndio mnaojifanya hamjui kinachoendelea. Watu wa aina yenu hata mkiugua hamuendi hospitali za serikali, mashirika yenu yanawalipia private hospitals na au tayari nyie ni mafisadi ambao mnaweza kwenda J'berg au India au Kenya kutibiwa mafua tu. Lakini hamtadumu milele, kila kitu kina peak yake na kisha hushuka graph zake.
   
 13. h

  hamenya Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Jamani pateni taarifa sahihi...Mwenyekiti wa Madaktari ameonekana kwenye vyombo vya habari akisema mazungumzo yako hayawezi kuwa na mafanikio kama watakuwa wanakaa meza moja na Waziri na Naibu ambao wamechangia kwa kiasi kikubwa katika migogoro yao. Mfano Waziri huyu ndiye alisema kwa mbwembwe nyingi bungeni na kupotosha mengi kuhusu madai yao hivyo itakuwa ngumu kukaa na mtu huyu. Mfano wa mambo ambayo alipotosha umma ni:

  1. Kuwa kila Dr nchini atatakiwa kulipwa on call allowance na kupiga mahesabu kwa mwezi...Hilo likuwa kosa kubwa kuwaada waDANGANYIKA ili ionekane madai yao hayatekelezeki. Ukweli ni kuwa call allowance si kwamba zinawalenga Dr wote..na si kwa siku 30. Unaweza ukakuta Dr anakuwa on call siku 4-8 kwa mwezi. Na wengine kutokana na areas zao haziitaji kuwa on call.
  2. Hoja nyingine ni House allowance..hapa ileweke kuwa Dr Ulimboka alisema hili si dai bali walitaka utekelezaji kutokana na waraka wa utumishi kwa kada ya afya. Kilichopo ni kuwa doctors wengi hawalipwi house allowance. Lakini waziri huyu alitoa idadi ya Doctors nchi nzima na kujumlisha Hse allowance kwenye salary yake bila hata kutambua kuwa wengine wanaishi kwenye nyumba za serikali..... Kwa kifupi alifanya udanyifu mwingi ili ionekane kwa umma kuwa Doctors wanahitaji mambo makubwa.
   
 14. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sioni pont yako hapa hasa ni ipi. unamaanisha mahosipitalini hakuna vifaa kabisa? mimi ninachojua ni kuwa havitoshelezi, na ni sahemu chache sana dunia ambao wana kila kitu. ksjipsnge upya na si kuleta porojo hapa katika maisha ya watu
   
 15. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sioni point yako hapa hasa ni ipi. unamaanisha mahosipitalini hakuna vifaa kabisa? mimi ninachojua ni kuwa havitoshelezi, na ni sahemu chache sana dunia ambao wana kila kitu. kajipange upya na si kuleta porojo hapa katika maisha ya watu
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  MKuu hivi kwa mfano ikiwa Dr. Mponda na Nkya wataondolewa leo hii kuna uhakika kwamba sekta ya afya itabadilika kesho? Hivi kuna ushahidi labda kwamba Dr. Mponda alikuwa na pesa za kurekebisha sekta ya afya lakini hakuzitumia hizo pesa kwa ajili hiyo? Kwa maana ya kwamba sekta ama wizara ya afya ilikuwa imetengewa pesa za kurekebisha sekta ya afya kutoka consolidated fund lakini mponda akazitumia visivyo. Hivi sekta ya afya ameanza kudorora mwaka 2010 wakati Dr. Mponda amepewa hiyo wizara hivyo anastahili hiyo hukumu hiyo? Je kabla ya mwaka 2010 sekta ya afya ilikuwa katika hali nzuri na ujio wa Mponda ndio umesababisha sekta hiyo iwe hivyo kwa hiyo akiingia mwingine atarekebisha mambo na kuwa mazuri ama sawa ni kabla ya 2010?
   
 17. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Umehiari kutupiwa makombo kama mbwa na kutumiwa kama condom utaionaje point yangu?
  Mimi nakisema ambacho kila mtu mwenye akili timamu na hajashikiwa akili anakijua. Kama kuna vifaa na dawa za kutosha mbona hao wanaokutuma hawatibiwi hospitali za hapa nchini?
   
 18. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hapana madam, lengo halikua kulinda interest za mtu. Nilikua nataka kuelewesha, at least nimeelewa kidogo japo in a harsh way. Thank you madame.
   
 19. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna jibu hapa kuna unafiki na uchochezi.dawa zipi hakuna?dawa zilizopo mpaka jana hazifai ili tu madoctor wakipandishwa mshahara ndo dawa zitatosha?
   
 20. Meshe

  Meshe Senior Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Hakuna mantiki ya Ma Dr kugoma.
  Kama ni mazingira mazuri sio kwao tu. Kama mafao kila mahali halo bado hairidhishi.
  Waache uwanahakati warudi wodini.
   
Loading...