Mponda alipataje PHD kutoka London School of Public Health? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mponda alipataje PHD kutoka London School of Public Health?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Feb 3, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ukimsikiliza waziri mponda unaweza kukadiria uwezo wake wa kielimu na kisiasa sio mkubwa.haonyeshi kuwa ni mtu wa kujiamini na kutetea kile anachokisema.kwa taarifa zisizothibitishwa ,mponda ni graduate wa london school of public health.nashindwa kuamini kama kweli huyu mzee alipata elimu yake kutoka chuo hiki.kama yupo aliyesoma nae atujuze zaidi.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kudhani kila aliye na elimu ya darasani basi hata uongozi anauweza...

  Au kudhani kuwa kila aliye na elimu ya darasani ni mwerevu wakati si hivyo mara zote...
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  mwenye certificate anaweza kuongoza vizuri kuliko hata profesa
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haya ndo matunda ya mtazamo wetu,msomi anajua kila kitu
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ni kweli uongozi hausomewi!unajionyesha kwa matendo ya mtu mwenyewe.lakini sitegemei mtu mwenye PHD afanye yale anayofanya mponda.
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  PHD holder, kuongea uongo wa waziwazi inanipa mashaka sana.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Mtu mwenye phd anatakiwa afanyeje?
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mnanikumbusha profesa Kapuya lol
   
 9. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  atoe hoja zake kisayansi,ajieleze kiufasaha na kuwa na uelewa wa kile anachokisema.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Kama hivyo ndivyo kweli udhaniavyo basi hakika umepotoka!!
   
 11. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wanasayansi huwa hatuna muda wa kuongea. Ni kutenda tu kwa kwenda mbele. Hongera Dr. Mponda.
   
 12. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  nimepotoka kivipi?by the way rudi kwenye topic,huyu jamaa alipataje PHD yake?je ni zile za online au ?
   
 13. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ni kweli,sasa kama mponda ni mtendaji iweje mpaka leo tuna mgomo.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Kama huoni hata jinsi ulivyopotoka kwa kudhani hivyo unavyodhani basi ngoja nisepe tu...
   
 15. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,781
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  mashaka yanaongezeka zaidi kwanini amekimbia taaluma yake ya utafiti hapo Ifikara na kukimbilia ktk siasa uchwara.
   
 16. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  we sepa tu!kila la kheri usirudi hapa tena.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Nimerudi
   
 18. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  vizuri tujadili hoja iliyopo,punguza kigeugeu!
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Acha kuwa zumbukuku
   
 20. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hasira za nini mkuu?mbona wajidhalilisha?nyie ndio mnaotia doa jf mpaka kina lwakatare wanaichukia.
   
Loading...