Nani anasema ubunge ni umaskini?

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
SALAAM wanabodi
Mwenyekiti wa UWT Bi Sofia Simba amesema kuwa kilichofanya siku za nyuma UWT kuomba viti vya uwakilishi Bungeni ni kutokana na wanawake kutojua fitina za siasa, ubaguzi wa kijinsia. Amesema kuwa sasa hivi wameamua kuwa mwisho wa mbunge kuhudumu kama mbunge wa viti maalumu ni miaka 10. Anasema kipindi hicho mbunge mhusika atakuwa ameshajifunza Fitna , ubabe dhidi ya wanaume na zaidi atakuwa ana fedha za kutosha kuhimili mikikimikiki. Anasema haamini kuwa kauli ya Spika Makinda kuwa nusu ya wabunge wanampango wa kuacha ubunge ifikapo 2015 kwa sababu ya umaskini.
SOURCE: TBC kipindi cha Jambo Tanzania Tarehe 08/03/2012 saa moja kasorobo asubuhi
 
Back
Top Bottom