Duh kweli 2015 ni mbali aiseee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh kweli 2015 ni mbali aiseee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zizu, Mar 7, 2012.

 1. Zizu

  Zizu Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unawezaje kuja na wazo la kuajiri madaktari kutoka Russia na Cuba?
  Je una madaktari wangapi? (Kwanza hawatoshelezi)
  Labda shilingi ngapi? (Kodi zetu) kama mishahara mpaka leo unashindwa kulipa kwa wakati.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Umenena kamanda!
   
 3. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukweli mtupu! kuajiri kutoka nje haiwezekana labda waje kwa ajili ya kutoa msaada. Wakija kama msaada ujue watakuja wachache tofauti na mahitaji hivyo serikali itekeleze tu maazimio ya madaktari kwa usalama wa maisha yetu.
   
 4. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Tutakoma ubishi! Woga wa wazee wetu kuwa CCM ikikosa madaraka kutakuwa na vita ni kiama kwetu.

  Ewe Mwenyezi Mungu wazindue wazee wetu kutoka katika lindi la woga, wapate ujasiri wa kupigia kura mabadiliko yatakayoleta ukombozi wa Mtanzania!

  Amen!
   
 5. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hahaha...bongo ya leo kama nchi ya kusadikika..uwezo wa viongozi wetu umegota, viongozi hawatambui na kutimiza wajibu wao ipasavyo, wapo wapo tuu..akili mgando. ***** mtupu.
   
 6. Dtts

  Dtts Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ama kwel tz viongoz wake they have dead conscious mind,wanasema tumejipanga kuukabili mgomo,,mie i think 2015 ifike haraka tuwaonyeshe adabu.
   
 7. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60

  kwa hivi sasa nikiambiwa niimbe mwimbo wa tanzania-tanzania hata sitauimba hata, ccm imenifanya niichukie nchi yangu
   
 8. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  rather than facing the challenges, were are externalizing them.....mpaka lini sasa????
   
Loading...