Unatupeleka wapi Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unatupeleka wapi Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwikumwiku, Mar 8, 2012.

 1. m

  mwikumwiku Senior Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zilizotanda magazeti mengi leo:

  Mgomo wa madakitari waendelea na wazidi kutanda nchi nzima!

  Walimu waipa serikali siku 14 kama madai yao hayatatekelezwa watagoma!

  Walimu 746 walala wandamana ofisi ya Mkuu Wa Mkoa Mwanza wa kishinikiza kulipwa madai yao!

  Chuo cha muhimbili (medical technicians) chafungwa kwa muda kutokana na ukosefu wa chakula!

  Walimu wawafungia maofisa wa idara ya Elimu halmashauri ya kigoma ujiji wakidai mishahara yao ya mwezi wa kwanza na wa pili!

  Wafanyakazi wa Tazara wagoma wataka Waziri wa uchukuzi ajiuzuru, wanadai mishahara ya miezi miwili! Maiti na mizigo mbalimbali iliyokuwa isafirishwe yazidi kuharibika!

  Habari hizi zote ukizitafakari unabaini wazi kwamba kuna tatizo kubwa! Sijui Kama Rais wetu anayaona haya! Migogoro kila kona ya nchi! Kikwete unajua anakotupeleka!
   
 2. R

  Rational Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama hayo yote ni kweli, na yakitokea nidhahili sasa J.K ameshindwa kazi, inabidi sasa na yeye ajiuzuru tupate viongozi wanaoweza kuwatumikia wananchi.
   
 3. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Inasikitisha sana huyu Rais wetu. Usalama wataifa wangekuwa wanafanya kazi wanayotakiwa kufanya haya yote yasingetokea. Hakika huyu jamaa sijui anauelewa kwa upana upi wa mambo!!!
   
 4. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwikumwiku.Usihofu JK anajua anapotupeleka ndio maana kakaa kimya,akiamini tutajionea wenyewe tutakapofika kwenye nchi ya amani.
   
 5. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Nchi zingine zilipata maendeleo baada ya kupigana, sisi tunaelekea kupata maendeleo kupitia haya mateso ya kikwete ukombozi uko mbioni kuja.
   
 6. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Watakuja wenyewe sasa hv kujibu hoja hii,na majibu yao uwa mepesi na yasiyo na tafakari: cdm wako nyuma ya migogoro yote hiyo na wanaharakati wanatumika kuhiujumu serikali,wakitoka hapo watakuja na matusi,kejeli na kebehi kwa wahusika kama vile waliogoma wauliwe,wafungwe n.k....hawajuagi kujenga hoja hao watu!sasa sijui wanataka matatizo yote hayo ya mishahara nk yatatuliwe na wanaharakati na C.D.M
   
Loading...