Mbunge wa Nzega, Mh .Kigwagala hatimaye amefungua ya moyoni na kusema wazi wazi kuna mtu anamuwinda ili amdhulu (hatujui ni kisiasa au kiafya), lkn naye sasa anajifunza mbinu chafu ili amkomese...
Hospitali ya mkoa wa Arusha nao safari hii wameungana na madaktari wenzao wa muhimbili katika mgoma usiokua na mwisho mpaka madai yao ya msingi yatakapo timizwa.
Ikumbukwe kua hule mgomo wa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mahakama Kuu, Divisheni ya Kazi, leo (*Alhamisi Machi 8, 2012) *imetoa
... uamuzi wa kusitishwa mara moja kwa mgomo wa Madaktari ulioitishwa nchi
nzima tangu jana...
..JK mambo yameanza kumfika shingoni kesho atatafuta huruma za wazee kwa kuongea nao jijini DSM saa kumi jioni.Bila shaka hawa watakuwa wazee wa CCM tu.
Tutakumbuka kuwa JK alifanya hivi wakati...
Ni kama kawaida ya mtembea bure huwa daima hafanani na mkaa bure, katika tembea tembea zangu nimekutana na hotuba hii makini., kutokana na hali ya sasa ya uchumi na mwenendo wa siasa za ndani...
Chama cha chadema watazindua kampeni zake uchaguzi kata ya kiwangwa Bagamoyo hapo kesho.
Kijana mpambanaji Halidi Miraji Mkawa atabebeba bendera ya Chadema.
Chadema wamejipanga vema kuanza...
Katika hatua nyingine, mpasuko ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) umezidi kuendelea baada ya katibu wa chama hicho wilaya ya Arumeru, Hamis Juma Kieni kujiengua katika chama hicho na kujiunga na...
Kauli ya mh. waziri mkuu Pinda imeniacha nikujiuliza maswali mengi ni nani mzalendo wa kweli kwenye taifa hili. Mh. Pinda umedai madaktari wamekuwa si wazalendo kwa kitendo chao cha kuitisha mgomo...
Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki mheshimiwa Silvester Kasulumbai leo jioni alikua akitoa elimu ya uraia na kuzungumza na wananchi wa jimbo lake kwenye uwanja wa Madeko mjini Maswa,wananchi wa...
Jamani ndugu zanguni, mimi sijui kama mna uchungu na mwenendo wa hii serikali kama mimi, nimeangalia habari TBC leo jinsi ambavyo wanatangaza etc, very stupid and no creativity, nafikiri...
Kutokana na matukio ya kisiasa hasa kwa Nchi ya wenzetu ya Zanzibar,mambo si shwari tena katika Chama cha Wananchi, CUF.
Mwalimu alitabiri , tena kwa uhakika, kuwa mtu akifanya dhambi ya ubaguzi...
Baada ya kikao cha madaktari wanaofanya kazi katika taasisi ya saratani ya ocean kuhusu mgomo unaoendelea wa madaktari kote nchini, tumeazimia mambo yafuatayo:
1. Sababu za mgomo wa madaktari ni...
Kwa muda mrefu sana tumekuwa tukishuhudia serikali yetu ikishindwa kuwasaidia wananchi wake na mara kwa mara ikijikuta inatumia nguvu nyingi sana kuwalinda na kuwatetea viongozi wasio na sifa za...
Chama cha Madaktari Tanzania ni Chama Cha hiyari na si Chama cha Wafanyakazi ambacho kina UWEZO WA KUITISHA MIGOMO. Kwa mujibu wa masharti ya usajili wa TMA, hakuna kipengele kinachotoa mamlaka...
Ni siku sasa toka mgomo wa madaktari uanza sasa imefikia atua ya waziri husika na naibu wake kutakiwa kujiuzuru,
ila wasiwasi ni kwamba
NANI ANAFUATA BAADA YA WAZIRI HUSIKA?
huu ni wasiwasi uliopo...
Jimmy Cliff -House of exile - YouTube
House Of Exile - Jimmy Cliff
There's a day of feasting and a day of famine
Day of sadness and a day of joy
You could see in the day of feasting
Life isn't...
Kama kweli tunataka mgomo wa madaktari uishe mapema hatuna budi kuwaunga mkono. Siku mbili zakuwaunga mkono zitaiamsha serikali usingizini. Wagonjwa na wananchi kwa ujumla hatuna budi kuungana na...
Inasikitisha jinsi waandishi wa BBC wanavyoacha ku-cover suala la mgomo wa madaktari. Vile vile, inasikitisha jinsi wanavyotumika kutangaza ushinda wa CCM hata kabla ya uchaguzi kufanyika.
Leo...
Kwa nchi kama Marekani, huwa hawaruhusu mwanadiplomasia kuwa Rais. Huwa wanafanya hivyo kwa maksudi maalum kuwa, mwanadiplomasia hawezi kuwa na maamuzi magumu,hoja zake huwa zinapunguzwa ukali...
Wazee wana nafasi muhimu sana kwa jjamii yeyote,ni kiungo na hamasa kwa maisha ya wanajamii katika jamii yeyote,wazee ni alama ya utimilifu wa maisha ya mtu hata jamii,wazee ni walezi kwa watoto...