Kigwagala: Siasa ya Tz imejaa fitna, chuki, majugu,kuwindana.. nami najifunza mbinu chafu..atanikoma

Mwangaza

Senior Member
Feb 26, 2008
198
64
Mbunge wa Nzega, Mh .Kigwagala hatimaye amefungua ya moyoni na kusema wazi wazi kuna mtu anamuwinda ili amdhulu (hatujui ni kisiasa au kiafya), lkn naye sasa anajifunza mbinu chafu ili amkomese zaid.

Nukuu kutoka kwenye status yake ya FB.

" Picha hii imenikumbusha enzi zangu za Ujasiriamali, Uanataaluma na uanaharakati...sijui watu wangu wa ofisini wameitoa wapi hii! Siasa ya Tanzania imejaa fitna, majungu, chuki, husuda na kuwindana na kuviziana...kazi zero, mbinu chafu mahodari! Kuna mtu ananipania sana na nimeishamjua, na mimi najifunza mbinu chafu sasa kupitia kwake. Hii ya leo ni salamu kwake."

May take:

CCM na viongoz wake wooooote wameIshiwa hekima ya kulingoza Taifa, sasa ni kuwindana kwa kuuana na kutakiana mabaya.... Taifa linakopelekwa na serikali hii NI HATARI SANA. UKOMBOZI UNAHITAJIKA HARAKA KULIKO TUNAVYOWEZA KUFIKIRI.
 
Mbinu chafu? SUMU?
 
Bashe ni noma!! Sasa hii mwaka mmoja tu hivi je Hio iliyobaki.

****Meneja badili waiter tafadhali . Huyu hachangamki!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom