Nchi za mbali (za Ulaya na Marekani) wanakuja na kuchukua rasilimali zetu. Madini, nk. Lakini pia wanatumia rasilimali zetu kama Lipumba. Wito wangu ni kwamba Serikali ya CCM ilifikirie hili na...
Dahh, ingawa hii inakuja a bit late, lakini ningependa kuchukuwa fursa hii kuwapa pole nyingi sana wana chadema kwa kushindwa Kitanzini, Iringa.
Kweli CCM sasa hawataki mchezo.
Rufaa iliyokatwa na chadema kuhusu utata wa uraia wa sioi sumari mgombea wa ccm umeleta mkanganyiko mkubwa kwa viongozi wa ccm.
Inasemekana kwenye vikao nape alionya sana kuwa utata wa uraia wa...
Chanzo: Tanzania Daima
Wakulima wa korosho wamwangukia Mbatia
na Mwandishi wetu, Masasi
BAADHI ya wakulima wa zao la korosho Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, wameonyesha dalili...
Kwanza naomba MOD waiache hii thread isomwe na ichangiwe.Wana Jf mimi naona kitendo cha CCM kumpitisha Siyoi kitachangia sana kuwa na utitiri wa watoto wa vigogo kurithi nyadhifa za baba zao au...
Katika uzinduzi wa kampeni juzi jumamosi mwenyekiti wa taifa CDM aliwaeleza wananchi kwamba mbunge moja wa chadema ni sawa na magamba 30 na hivyo kuwaomba wananchi wampatie Joshua kwa kuwa...
Sijui wenzetu wengine but huku kwetu hatujalipwa mishahara ya February hadi leo? Naona serikali inafanya mzaha na jasho letu na tumeshachoshwa na hali hii je tunakuuliza mheshimiwa waziri wa fedha...
Zanzibar na Tanganyika katika mezaniPosted on March 11, 2012 by zanzibaryetu
Professa Abdul-Shareef akionesha mezani inayoninginia vidoo viwili kimoja cha Zanzibar na nyengine kikiwa na...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimezindua kampeni zake za udiwani wa Kata ya Kiwira wilayani Rungwe na kufanikiwa kupata umati mkubwa watu waliofurika kusikiliza sera za chama hicho...
Jamani hii siasa wanayo icheza CCM ya Leo ni ya ajabu sana. Maana itakumbukwa kwenye Kikao cha kamati ya siasa ya Mkoa wa Arusha cha kujadili wagombea ubunge wa Arumeru Mashariki, wajumbe wa Kikao...
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar SIYO NCHI! Lakini ina kila alama zinazoashiria kuwa ni nchi huru yaani; ina Rais, ina bendera yake na pia ina wimbo wa taifa...
Mkapa anashitakika - Dk. Slaa
na Edward Kinabo
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea kumshinikiza Rais Jakaya Kikwete kumchukulia hatua za...
Chadema kimekata rufaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kikitaka kuenguliwa katika uchaguzi huo, mgombea wa CCM, Siyoi Sumari kwa maelezo kwamba si raia wa Tanzania.
Hatua ya Chadema imekuja saa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema leo Jumatatu, Machi 12, mwaka huu kitalitikisa jimbo la Arumeru Mashariki katika uzinduzi wa kampeni zake za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo utakaofanywa na...
RIPOTI KWA VYOMBO VYA HABARI.
UTANGULIZI
Baada ya kikao cha madaktari kilichofanyika leo tarehe 10/3/2012. Madaktari nchini kupitia chama cha madaktari Tanzania (MAT), tunapenda kutoa...
Mhe. Freeman Mbowe akijibu swali, katika mazungumzo kati ya Watanzania wanaoishi Washington DC, USA na viongozi wa CHADEMA. Mh. Mbowe aliulizwa iwapo chama chake ni cha kikabila, cha matajiri na...
Ipo cku uwongo wenu utafika mwisho 2015 cjui mtakimbilia wap nina uwakika kwa style hii ya cdm ya kwenda vijijin kusambaza sera mtakosa wananchi wakudanganya ngoja 2one leo mtawadanganya nin wa...
Kwenu Namomba & Mulongo;
Kwa watumishi wa Serikali jambo kubwa kabla ya kuanza utumishi wao ni wao kula kiapo cha Utumishi kwa nafasi ile wanayokwenda kuitumikia. Utaratibu huu unalindwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.