MBOWE aomba MAGAMBA Arumeru

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Katika uzinduzi wa kampeni juzi jumamosi mwenyekiti wa taifa CDM aliwaeleza wananchi kwamba mbunge moja wa chadema ni sawa na magamba 30 na hivyo kuwaomba wananchi wampatie Joshua kwa kuwa watakuwa wamempa magamba 30. Je tatizo ni idadi ya magamba au ni gamba?naombeni ufafanuzi wapenzi wa cdm!
 
Inategemea alimaanisha nini, na wewe unatafri vipi.:attention:
 
ikipewe nassari atakuwa ameongeza nguvu ya magwanda kwani gwanda 1 ni sawa na magamba 30 kwa hesabu ni sawa na wabunge 1,470
 
Katika uzinduzi wa kampeni juzi jumamosi mwenyekiti wa taifa CDM aliwaeleza wananchi kwamba mbunge moja wa chadema ni sawa na magamba 30 na hivyo kuwaomba wananchi wampatie Joshua kwa kuwa watakuwa wamempa magamba 30. Je tatizo ni idadi ya magamba au ni gamba?naombeni ufafanuzi wapenzi wa cdm!

Haha haaaaa! Hivyo hivyo ulivyoelewa
 
Kam ulikuwepo uwanjani kil kitu kipo wazi na wala hauhitaji nguvu kubwa sana kufamu hili. Mbowe alimananisha mbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa Magamba kwa sababu wabunge CCM mpaka wafikie 30 ndiyo wanaweza kutetea maslahi ya wananchi kwa kiwango cha CDM.
 
ikipewe nassari atakuwa ameongeza nguvu ya magwanda kwani gwanda 1 ni sawa na magamba 30 kwa hesabu ni sawa na wabunge 1,470

Ha ha haaa kama kuna ukweli ndani yake vile!!
 
Hili suala ukililinganisha na jinsi walivyopitisha ile sheria ya kuandaa katiba mpya inaonyesha ni kweli kabisa
 
Sisi tumemuelewa vema kabisa, Joshua Nasarry anakwenda kupunguza nguvu za magamba 30.
 
Katika uzinduzi wa kampeni juzi jumamosi mwenyekiti wa taifa CDM aliwaeleza wananchi kwamba mbunge moja wa chadema ni sawa na magamba 30 na hivyo kuwaomba wananchi wampatie Joshua kwa kuwa watakuwa wamempa magamba 30. Je tatizo ni idadi ya magamba au ni gamba?naombeni ufafanuzi wapenzi wa cdm!

Hizo ni tafsida za lugha tu,kama maana ikibaki hivyo basi idadi ya wabunge wa CDM zidisha kwa 30 basi kwa maana nyingine CCM wasingeweza kupitisha hoja ikapita kwa idadi ya wabunge.
Nanukuu: JICHO LIKIKUKOSESHA LING'OE ULITUPE NA MKONO UKIKUKSOSESHA UKATE UUTUPE,NI HERI UINGIE PEPONI KILEMA AU KIPOFU KULIKO KWENDA JEHANUM NA VIUNGO KAMILI.
SWALI:pEPONI KUNA VILEMA/VIPOFU?.
 
Back
Top Bottom