Kumbe CHADEMA walishindwa Iringa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe CHADEMA walishindwa Iringa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Mar 12, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Dahh, ingawa hii inakuja a bit late, lakini ningependa kuchukuwa fursa hii kuwapa pole nyingi sana wana chadema kwa kushindwa Kitanzini, Iringa.

  Kweli CCM sasa hawataki mchezo.
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hata hueleweki mkuu, sio wote tulioko Iringa!! fafanua vizuri hizi tabia za kujipendekeza pendekeza bila kuweka habari kamili hazifai mkuu.
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Magamba hayajui kuelezea achana nayo yanatapatapa
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Walishindwa nini?
   
 5. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wewe kabwela acha kuwa aibisha great thinkers kutoka IRA,unatakiwa ufikiri kindakndaki kabla ya kupost thread.wenzio wanamacho na ni antimasaburi si kama wewe.
   
 6. S

  STIDE JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  David Cameroon
   
 7. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wameshindwa nini mbona huweleki? Acha kukurupuka au ndo mapombe uliyokunywa yameshaanza kazi!
   
 8. Manjagata

  Manjagata JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 4,217
  Likes Received: 1,750
  Trophy Points: 280
  Yaani magamba wana uvivu wa kufikiri kama alivyo kiongozi wao! Full mtindio wa ubongo.
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  mngekuwa mnasema ili tuelewe,
  au unaona unakichojua wewe kila mtu anakijua?
   
 10. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  no point
   
 11. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,378
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Una mawenge ya ulanzi wewe
   
 12. t

  tweve JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  walishindwa kufanya nini we gamba la kijani?hivi nyie magamba nani kawaroga?kujieleza hamuwezi?ubunifu wa maendeleo hamna,,uongozi umewashinda,sasa nyie mnaweza nini ktk nchi hii?
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kushindwa kitanzini ndio nini?
   
 14. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Masaburi@ work
   
 15. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaelekea alipokuwa akiandika thread hii nyuma yake alikiwa akihemewa na gamba fulani hivi. Full Ucameron!!!
   
 16. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama wewe ni mwanaume fafanua thread hii tuone. Na kama siyo kapigwe mpini ujilalie.
   
 17. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukipost thread yako uwe tayari kuifafanua iwapo haieleweki. Una post kisha unaingia u cameroun?
   
 18. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  al maamuma
   
 19. C

  Cupid 50mg Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu haueleweki jaribu kutulia then ueleweke ili tukuelewe.
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwi kwi kwi kwi, teh teh teh teh;

  [h=3]BREAKING NEWSZzzzzzzzzzzzz MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO IRINGA CHADEMA HOI JESCA MSAMBATAVANGU AIPIGA MWELEKA CHADEMA KITANZINI[/h]
  [​IMG]
  Na Francis Godwin
  Matokeo ya uchaguzi mdogo kata ya Kitanzini Miyomboni katika jimbo la Iringa mjini yametangazwa huku kada wa CCM Jesca Msambatavangu akiacha simanzi kwa Chadema baada ya kuibuka kidedea katika matokeo ya jumla na kutangazwa rasmi kuwa diwani wa CCM wa kata hiyo ya Kitanzini Mkiyomboni  Katika matokeo hayo kwa upande wa kituo cha Stendi 'A' huku Chadema kupitia mgombea wake Gervas kalolo imepata kura ( 43 ) kituo cha stendi B' CCM (18 ),Chadema 36 wakati kituo cha Zimamoto CCM (32) Chadema (41) wakati soko kuu CCM (51) Chadema ( 84) Sokoni Kitanzini 1 Chadema ( 35) CCM (58 ) Sokoni Kitanzini 2 Chadema (33) CCM (56) na Kitanzini CCM (75) Chadema (37)

  Soma zaidi:
  http://latestnewstz.blogspot.com/2011/10/breaking-newszzzzzzzzzzzzz-matokeo-ya.html

   
Loading...