Kweli CCM mmeishiwa sera sijui sasa ivi mtasema uwongo gani Arumeru? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli CCM mmeishiwa sera sijui sasa ivi mtasema uwongo gani Arumeru?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kokwa kavu, Mar 12, 2012.

 1. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ipo cku uwongo wenu utafika mwisho 2015 cjui mtakimbilia wap nina uwakika kwa style hii ya cdm ya kwenda vijijin kusambaza sera mtakosa wananchi wakudanganya ngoja 2one leo mtawadanganya nin wa meru maana igunga mliwadanganyia kaz na maji kama january makamba alivyo tweet on twiter @zitokabwe "water and jobs were much bigger issues in igunga than they are in arumeru but we offered details on solution" hii inaonyesha jinsi gan wanatumia matatizo ya watu na kuwadanganya mara tutafanya hivi mara vile 2015 mwsho wenu unakuja
   
 2. O

  Omr JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kajipange upya wewe, usilete lugha za SMS hapa.
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Unamwambia ajipange wakati wewe ndio upo ki hasara hasara, kama vipi isemee hiyo ccm !
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa walitakiwa kutekeleza wajibu wao hawakufanya hivyo, huu si wakati wao wa kutuorodheshea maproblem yetu, wakiorodhesha tutawauliza, mwayajua kwanini hamkuyatatua enyi chama tawala?
   
 5. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kokwa kavu unahitaji kulambwa kidogo upate unyevu akili ikukae sawa.Acha kuwa mtumwa wa matumbo ya watu yakhe, siku moja utaliwa!

  Hivi unajua Kamba kamba anamaanisha nini kwa hiyo "we offered details on solution"? Usimwambie mtu: anamaanisha yale mambo ya hijabu , tindikali , kuchoma nyumba na kununua shahada za kupigia kura. Kwa kiinglishi changu; those were the dirt detailed solutions!
   
 6. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu umesema kweli ila muda wao unakuja
   
 7. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Tatizo hapa ni wananch wa vijijin ndo wanawapa kiburi
   
 8. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ila c mbaya ujumbe umekufikia uwaambie na wenzio
   
 9. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaifanyia kazi hii tutakujulisheni JF.
   
Loading...