CCM Arusha waanza kuparurana kuhusu Arumeru Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Arusha waanza kuparurana kuhusu Arumeru Mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Joseph Peter, Mar 11, 2012.

 1. J

  Joseph Peter Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hii siasa wanayo icheza CCM ya Leo ni ya ajabu sana. Maana itakumbukwa kwenye Kikao cha kamati ya siasa ya Mkoa wa Arusha cha kujadili wagombea ubunge wa Arumeru Mashariki, wajumbe wa Kikao walimwomba RC wa Arusha awapelekee nyaraka mbalimbali kuhusu ufafanuzi wa masuala ya rushwa na uraia wa Sioi na hii ni kwa Kuwa kwa mujibu wa taratibu za ccm RC ni mjumbe wa kamati ya siasa ya Mkoa.

  Lakini cha kushangaza Mara tu baada ya RC kukabidhi nyaraka hizo tukashusahudia kuvuja kwa nyaraka hizo kwa kasi ya ajabu. Tukajiuliza kulikoni mwenyekiti wa ccm Mkoa wa arusha ndugu Onesmo Nangole ang,ang,anie kuonyeshwa nyaraka hizo? Kumbe yeye na kijana wake mtumwa wa mafisadi James Millya walikuwa na Lao jambo. Walipanga kuvujisha ili ionekane Kuwa Sioi anaonewa na aweze kipata huruma ya wana Arumeru Mashariki. Huu ni upuuzi mtupu. Lazima wajue Kuwa wana Arumeru Mashariki hawadanganyiki.

  Hivyo kuna tetesi Kuwa Onesmo Nangole na James Millya watahojiwa kwa kuvujisha Siri za vikao vya CCM.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Na bado huo ndio mwanzo wa kusambaratika kwa magamba yatatoka yenyewe
   
 3. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na bado wanacheza wawili hao wameifanya ccm ya kwao hapo monduli tunawajadili na mwisho wa yote tutawapa majibu wana JF:crazy:
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Who cares? acha waumane sisi tuwatawale kirahisi!!!!!
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na wewe ulikuwepo kwenye hivyo vikao? au umesikia tu?
   
 6. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  "Vita ya Panzi"
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Asante Mulongo kwa ushirikiano.
  Nangole na Millya ni watumwa wa Lowassa hawawezi kumuumbua kijana wao bitoz Siyoi.
  Mulongo na Chatanda walijionyesha live kutoka mwanzo kuwa hawamkubali Bitoz.
  Hongera Mulongo kwa kutusaidia!
   
Loading...