Mbowe: CHADEMA si chama cha Matajiri, Katoliki na Wachaga, Audio script in Washington DC! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe: CHADEMA si chama cha Matajiri, Katoliki na Wachaga, Audio script in Washington DC!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ITEGAMATWI, Mar 12, 2012.

 1. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Yeah, nimeisikia Mhe. Mbowe kaongea vizuri sana!! haya meneno yanatakiwa yafahamike kwa watanzania wote!!
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Acha kutuzuga hao ndio wenye chama! Catholic, chagga, Northeners! Kila mtu anajua hilo!
   
 4. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280

  Unajua mkuu hili suala la ukabila sijui udini hizi ni propaganda zilizowekwa na chama tawala ili kudhoofisha upinzani,sasa wapo watu wengi sana hasa humu JF wanatumika bila kujijua kuchochea hii dhana!Mbaya zaidi hadi wanachama wa vyama vya upinzani wameikubali hii propaganda bila kujua wanajiua wenyewe!Mathalan imekuwa ni kitu cha kawaida kumkuta mwana-CUF akikebehi kidini post mbalimbali za CDM na wakati huohuo wanaCDM hawaambiliki kudhihaki kidini vyama vingine,laiti wangejua kufanya hivyo ni kuipigia CCM kampeni wangeliacha mara moja,lakini ndiyo watanzania hao ndugu yangu utafanyaje sasa??
   
 5. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mbona mimi ni Ngosha ze swaga dong na nipo CDM? Fanya research jombaaa sisi hatuongeiongei ili kujua makabila yetu.
   
 6. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Mkubwa JESUIT kama umekuwa unafuatilia comments zangu nadhani utakuwa unanisoma vizuri!Mimi binafsi siyo shabiki wa chama chochote na hata sijawahi wala sijafikiria kuja kupiga kura kwa chama chochote kutokana na siasa za matope zinazofanywa Tz,lakini hili ni jukwaa huru ukipata habari si vibaya ku-share na wadau mbalimbali kupata maoni yao!!Haya wewe unalipinga hilo hebu weka facts zako kwa point basi watu wazione na kuzijadili jamvini!Karibu kwenye hoja mkuu!!!
   
 7. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Thanks very much
   
 8. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Well said mkuu,c.c.m walichofanya ni kuwachanganya akili baadhi ya Watanzania na kuwajaza ujinga kua cuf ni for islam na cdm ni for christian,maskini ya Mungu wapo wachache kwa ufinyu wa kupambanua mambo wamekubaliana na ujinga huo na kuuamini,lakini kwa wale waerevu wamejua kabisa ni propaganda za kipuuzi na wamezipuuzia na kuangalia umakini wa vyama hivyo
   
 9. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  upo juu, na huo ndio ukweli
  wapinzani kua makini na hizo propaganda, alianza kuzushiwa CUF ni chama cha kiislam wakati ule walikua tishio. wakashindwa
  na sasa CDM nacho kinaambiwa vivyo. sbb ni tishio kwa sasa. tuwe makini si kweli
  na CCM tumieni propa nyingine lkn hizi za udini, ukabila sio nzuri kwa ustawi wa taifa leo maana kuna wengine watz wanaamin vivyo na then wanafuasia chama kwa misingi hiyo. sasa tashwira inaanza kuonekana ni KWELI
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hayo ya ukabila na udini si wameyaanzisha na kuyakuza ccm ili kuwagawa wapiga kura na wachukue kirais hizo kura
   
 11. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa nini kile kitufe cha Like kinakosekana kwenye threads fulanifulani? Kuna mambo mimi sitaki kuyaandikia hoja. Nataka tu kusema Like, lakini hakuna kitufe...inakuwaje?
   
 12. L

  Lwitiko New Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ni chama kilichokomaa kisiasa na zaidi naongelea swala la Propaganda wao waku juu. Ni kitu ambacho watanzania waliowengi hawajui kitu cha namna hiyo pia kujishugulisha na kusoma pindi yanapojiri mambo yanayo husu CCM, Ila watajishugulisha sana kusoma mambo ya CHADEMA. Ukweli ni kwamba CHADEMA si chama cha Kikabila au Udini unaozungumzwa ni Njama au Propaganda za CCM kufisha fikra za watanzania ili waamini kuwa kweli Chadema ni Zonal Party.

  CCM ningeweza kukitafsiri kuwa ni chama cha BAMAMWA inaonyesha kuwa ni cha kibinafsi zaidi. CCM ilikuwa enzi za MWL tu.
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tukianza kusema chama fulani ni chama cha kikabila au cha kidini tutakuwa tunajenga taifa la wapumbavu, just because kiongozi wa chama hicho ni dini fulani au ni kabila fulani. Au mwanzilishi anatokea kabila fulani kwahiyo chama chake ni cha hicho kabila. Katiba za vyama ndiyo mwongozo, kama kinajieleza kuwa kipo kidini ama kikabila hapo tunaweza kusema ni kidini ama ya ukabila kwasababu katiba yake kimeelezea.
   
 14. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hili jamaa linaonekana ni Libaguzi la dini! Sijui hata watoto wake wanajifunza nini toka kwake.
   
 15. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukiona vyaelea vimeundwa! Lisemalo lipo! Swali la msingi kwanini aliulizwa hayo maswali Washington DC?
  Ila swala ya kuzusha udini katika vyama ccm haijihusishi siku hizi wamewaachia CUF na CDM wajeruhiane!
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo busara yenu ndogo ndo inawafanya muendelee kutawaliwa kiroho na kimwili!!!!!!
   
Loading...