Uongozi wa kurithi utaua umoja na amani miongoni mwa watanzania,busara zitumike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi wa kurithi utaua umoja na amani miongoni mwa watanzania,busara zitumike

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, Mar 12, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwanza naomba MOD waiache hii thread isomwe na ichangiwe.Wana Jf mimi naona kitendo cha CCM kumpitisha Siyoi kitachangia sana kuwa na utitiri wa watoto wa vigogo kurithi nyadhifa za baba zao au wazazi wao maana busara asilia haikutumika kumsihi Siyoi juu ya nafasi hii.KWA KAWAIDA KATIBA YA NCHI HUTOA HAKI KWA KILA RAIA KUCHAGULIWA NA KUCHAGUA, WELL AND GOOD lakini busara au wisdom hutangulia kutoa maamuzi kichama ndiyo maana Nec zipo kusaidia kulinda tamaduni zote kwa kutumia busara za hali ya juu,vinginevyo Nec zikileta maamuzi yenye kigugumizi kama hii ya CCM ya kumleta Siyoi anayenung'unikiwa mpaka,basi tujue watoto hawa wa vigogo watafumuka kama uyoga kwani ni haki yao na hatimaye UKABILA kisha tutaanza kulana kama nyama maana wengine watakataa tawala za kifalme hata kama ni wana chichiem.CHAMA CHENYE NGUVU KITALIONA HILI NA KUISAIDIA CCM KURUDI KATIKA NJIA INAYOZIBWA NA NYASI(MAGAMBA) NA HATIMAYE UMOJA KUTOWEKA MUDA SI MREFU UJAO.
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Urithi wa kazi za wazazi ni kitu cha kawaida sana duniani na ni vyema sana.
   
 3. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0

  Huu ujumbe uwafikie;. January Makamba, Nnape Nauye, Hussein Mwinyi, Adam Malima, Binti Kawawa, Emannuel Nchimbi, na wengine wote ndani ya serikali na CCM. Wanachokipika ni vita. Tuommbe kibaya kisitokee, ila ikitokea hawa waikimbie Tanzania kwa maana kwamba hawatakuwa na pakujifichia. Iweje January apindishiwe kanuni na kupitishwa bila kupingwa. Licha ya hayo anapewa vyeo 4 kutumia ufisadi. Huyo huyo kafanya mengi maovu ndani ya Ikulu lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi yake. Wamejaa TRA, BoT, NSSF, Foreign Affairs na sehemu nyingine nyingi tu..... Tunaona mwingine fyatu Le Baharia Le Mutuz naye anajitayarisha kupewa ubunge wa Afrika mashariki? Mimi kwa maoni yangu akawe naodha wa meli ya maghufuli.. badala ya kutuletea mambo ya Twanga pepeta kwenye uongozi wa nchi. lakini kwa vile rais wetu naye ni mwana mduara, chochote kinawezekana. atabweba kama Marope Jr.
   
 4. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ndhgu yangu,kama fikra zako ndivyo zilivyo basi wewe inabidi uombewe kwani thread imetaka busara zitumike kulinda adui chuki asituyumbishe watanzania.ASK YOURSELF HOW MANY TANZANIANS ARE THERE TO SAVE THIS NATION?WE LALA TU WENZIO........
   
Loading...