How potential is Lipumba???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How potential is Lipumba????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malova, Mar 12, 2012.

 1. M

  Malova JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Nchi za mbali (za Ulaya na Marekani) wanakuja na kuchukua rasilimali zetu. Madini, nk. Lakini pia wanatumia rasilimali zetu kama Lipumba. Wito wangu ni kwamba Serikali ya CCM ilifikirie hili na waweke pembeni uchama. Wamtumie Lipumba kwa maendeleo ya nchi.
   
 2. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tatizo ulilolizungumza naona kama lipo kisheria zaidi kuliko uchumi ambao profesa wetu amebobea. Tunapokwa rasilimali kwa sababu ya mikataba mibovu, feki.
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Lipumba is very potential to Mosques.
   
 4. M

  Malova JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Sina uhakika kama hata anatumiwa kushauri mambo ya kiuchumi
   
 5. Bablii

  Bablii Senior Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama alivyo Padri (aliekengeuka) Slaa kwa kanisa!
   
 6. New2JF

  New2JF Senior Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  To Prof Lipumba....Time will Tell kwa Serikali maana wao kila kitu wanapinga....sasa wadgungu wamechukua raslimali zetu zote na sasa wanaanza kusomba na raslimali watu zetu!!!
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wewe hujui kwamba Lipumba mwenyewe hataki kushirikishwa katika masuala yanayolihusu taifa zaidi ya kuutaka Urais?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Lipumba si nasikia alikua mshauri wa uchumi wa rais mwinyi na mkapa? Sema aliachia ngazi baada ya mchumi original kushika nchi.
   
 9. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  kweli wewe mlevi mzito.Ebu ipumzishe kidogo misaburi yako baadala yake tumia oblangata.
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nahisi atakuwa anatumiwa na Mugabe.
   
 11. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Wapendwa wana JF naomba kuuliza. Wakati Lipumba anatoweka hatukuambiwa kuwa ameteuliwa kuwa mchumi no 1 duniani na amepewa special assignement. Lakini aliporudi propaganda zimekuwa nyingi sana. Yeye mwenyewe jana amenukuliwa akisema kuwa alikuwa amekwenda kujifunza namna ya kuisaidia Tz katika mambo ya democrasia na maendeleo. Sasa mimi nachanganyikiwa. MCHUMI NO 1 DUNIANI????????
   
 12. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hivi amerudi CUF au kile kingine?
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Nadhani huyu ndiye anayestahili kuwa Mufti mpya wa Waislamu, maana huyu wa sasa elimu yake ni ndogo darasa la 7.
   
Loading...