January Makamba Live:East Africa Radio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba Live:East Africa Radio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by King Kong III, Mar 12, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Q & A

  Host:Zembwela na Baruti

  Nawasilisha.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  kijana Anahangaika!!!! kama ana la kusema si apeleke kwenye vikao vyao husika?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Umeona ehe!!
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mnyika zaidi. hata walioongea bungeni utasikia kakimbilia kwenye media badala ya kuwaambia wanachi wake wa Ubungo waliomtuma.
   
 5. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huyu dogo anautaka Uwaziri wa madini na nishati ile mbaya
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Utakuwa banned wewe. Unatoa habari za mtu wa Chama tofauti na kile cha Makamanda humu JF? wewe sema Mnyika Mnyika, Lissu LIVE star tv. Utasikia michango kede kede.
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Anafaa sana kwani uongo.
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  njaa mbaya toto ili la fisadi nyangumi
   
 9. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kajamaa kanajaribu ku-win support ya media.What a smart move!!

  Pia usiku wa leo kwenye Mkasi watapata kuzungumza..kucheka na
  Mheshimiwa January Makamba.Leo Saa Tatu Na Nusu Usiku pale East Africa TV(Channel 5).
   
 10. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Na dada yake ( Mwami) si alichangisha pesa za kampeni akijua dogo atakuwa waziri wa madini!
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  What make you think so?
  Kwa vigezo gani?
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Duu Mgao kama kawa,sababu mitambo ya aggreko na iptl imeishiwa wese-January makamba
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Uongo! anachokitamani ni ile bunduki kubwa!!!
   
 14. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kuna comment ametoa amenifurahisha,amesema kama angekuwa Rais wa nchi hii angemuamuru waziri wa nishati na madini aje na barua mojawapo kati ya mbili kila tarehe 31/12 ya kila mwaka. 1.Aje na barua ya kumualika katika uzinduzi wa kuongeza megawati za umeme au ikishindikana 2.Aje na barua ya kujiuzuru. Vilevile ameulizwa kama mgao wa umeme upo au haupo,amejibu kuwa kama umeme wa uhakika haupatikani basi automatically mgao upo.
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Kwani hao wana Ubungo hawana access na media? Yaani ulitaka atoke all the way from Dodoma aje ubungo kutuambia nini kimeongelewa Bungeni?Afanaye mara ngapi kwa kila kikao?...disgusting comment
   
 16. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ....niliona tangazo.... Salama anamkatia mauno...
   
 17. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Duuh.. Huyu jamaa ana a hidden agenda nawaambia.. sio bure..
   
 18. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  anafurahia masaibu ya wakina malima. malima atemwe apewe yeye bunduki kubwa bastola na simu tatu akajivinjara na totozz mji kasoro bahari na kwenye machimbo ya barrick. huoni anamchamba hadi bosi wake wa zamani. heti angekuwa yeye rais, ngeleja angekuja na barua mbili, sijui ngeleja naye kamsikia? kweli mtoto wa nyoka ni nyoka. hii tabia wote wanayo, baba yao, dada yake (shoga yangu) na hata yeye mwenyewe, kuropoka na kutafuta media attention. hawa wakipewa madaraka tutakoma....ccm inabidi wawemwangalifu na huyu jamaa. naskia hana bifu hadi na waziri membe?
   
Loading...