Leo tarehe 12/03/2012 hatujalipwa mishahara serikalini Je Mkulo unataka migomo ikuandame???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo tarehe 12/03/2012 hatujalipwa mishahara serikalini Je Mkulo unataka migomo ikuandame????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Leotena, Mar 12, 2012.

 1. L

  Leotena Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui wenzetu wengine but huku kwetu hatujalipwa mishahara ya February hadi leo? Naona serikali inafanya mzaha na jasho letu na tumeshachoshwa na hali hii je tunakuuliza mheshimiwa waziri wa fedha bwana Mkulo wewe unaweza kuishi bila ya hela kwa siku 12? Kama wewe ni mpangaji je ungelivumilia hali hii? Kama nchi imewashinda tuambieni hii hali haivumiliki sio ubinaadamu kabisa.


  Mie mdau mwenye hasira sijalipwa hadi leo huu ni ujinga!!!!
   
 2. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  siongee kimkato sema upo wapi na unafanya kazi gani
   
 3. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280

  Ndugu Pole sana;

  Lakini ungelijieleza vizuri kuwa upo ofisi ipi ambayo ingelisaidia kupata ufumbuzi.

  Kwani hapa JF, viongozi wengi wanapitia kila siku kama wanavyokunywa chai au maji. Hivyo wakati mwingine tunaweza kulaumu Serikali kuwa haijatoa pesa za Mishahara kumbe kuna wajanja wachache wamezitia katika akaunti zao binafsi.

  Sasa weka wazi hiyo ofisi usiogope itakuwa rahisi kwa wahusika kugundua kama kuna mchezo hivyo kurekebisha.

  MIZAMBWA
  INANIMA SANA!!!
   
 4. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na bado, nyie watumishi wa serikali ndo wabishi wa mabadiliko, ngoja mnyoshwe kwanza
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  pesa tumepeleka kwenye kampeni zetu arumeru kura ya maoni tuu tulitumia 220m!jee uchaguzi tunahitaji 5bn kwa kampeni
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Siku hizi lakini mishahara si inatoka hazina? Sasa unataka jamaa aseme anafanya kazi wapi ili mumfatilie ni nani? Kwanini wasifatilie wahusika hizo sekta za serikali ambazo hazijalipwa hadi leo kwanini hawajalipwa? Hameni huko serikalini wamefilisika tukiwaambia hamsikii kila siku.
   
 7. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  Then tufanyaje mnafikir zile ngo tulizipenda kuzikimbilia achaneni na urojo wa serikali ooh security security mtalia
   
 8. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Zitakuwa zimekwama bank, si unajua kuna zoezi la kuhakiki taarifa za customers?
   
 9. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Poleni watumishi wa serikali. Serikali imeshakopa sehemu zote na hivi sasa hawajui wakope wapi.

  Mkulo yeye ameshajilipa mshahara wake.
   
 10. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,281
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  tehee...tehee....si bora ww uankijiwe cha kulipwa mshahara wenzako hatujawahi kilipwa tunakalia vyeti tu
  lakini kwa kuwa wewe sio dactari goma wakufukuze na waajiri wengine
  pole sana mtu wangu yote maisha
   
 11. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Du hadi tarehe 42 watu hamjavuta!!! Wengine tunajiandaa kuvuta mzigo wa March. Kweli ukimpa nchi mcheza ngoma nawe jiandae kuwa mcheza ngoma
   
 12. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mungu wangu Liepushie mbali balaa linalotunyemelea Tanzania hii ni balaa siku 12? mwingine alikua na dola 4000 hotelini na vitu kibao vya thamani hii nayo watumishi wa serikali mnataka tutumie maneno gani ili mtuelewe kwamba tunaongozwa na wasiojua uongozi? jamani jiandikisheni kwa wingi kisha tuzilinde kura zetu tuwang'oe hawa ccm
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,188
  Trophy Points: 280
  Ni ATM yako tu ndo imeshindwa ku-download hela.
  Mbona mi nimepata?
   
 14. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka unafanya kazi katika serikali gani? au KENYA maana sisi wafanyakazi wa serikali tulilipwa zamani ha tumeshaanza kukopa.., au unazungumzia mshahara wa march? utakuwa bado mkuu!
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwenu wapi? Muongo utamjua tu , hasemi exactly anachotaka kusema. Sema idara fulani ili uumbuke kwa sababu majibu utayapata humu humu ulivyo na husuda ndugu yangu na sijui unaongopa ili iweje au hilo na wakuu wako wanalitaka kwa ajili kuongeza nguvu kule Arumeru nini?
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huu sasa ni unafiki, kama ni ukweli ungetaja unafanya kazi ofisi gani ya serikali. Au umeshanywe zimekwisha harafu unaleta uzushi hapa?
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Jamaa ongo kweli hili. Wewe labda unataka mshahara wa mwezi ujao, kama ni hivyo hiyo bado, inabidi usubiri.
   
 18. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hizi taarifa zinanichanganya sasa,mwingine juzi kaniambia wanajeshi wa kawaida hawajalipwa,eti walivyokuwa wakienda bank,wanakuta wameingiziwa 500/=,wakiuliza wanaambiwa kuwa kunatatizo kwenye DATA BASE,hivyo hawatalipwa mwezi huu na ujao,kwani zoezi hilo litachukua muda , na kuanza kulipwa manually ndio itakua tatizo kubwa zaidi.Ila wanadai wale viongozi wao wa juu washalipwa ,ila wakiuliza kwa nini wanadai wao ni VIP hivyo wanatumia system tofauti.
  Pengine inabidi kulichukulia suala hili kwa uzito zaidi sasa,maana mie naona kama utani vile.
   
 19. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hayuko peke yake mie leo kuna mfanyakazi wa IFM amenieleza hawajalipwa mshahara hivyo ndio maana nawashauri hameni huko serikalini mnang'ang'ania nini shauri zenu
   
Loading...