Wadau mara nyingi nimekuwa nikifuatilia kipindi cha dakika 45 cha itv......ambacho wanasiasa wengi huwa wanaojiwa ila tokea nimeeanza kuangalia wanasiasa wa chadema mbona sioni wakiwa wanaojiwa...
Baada ya rais Jakaya Kiwete kufanikiwa kusitisha mgomo wamadaktari, kwanza nini matarajio yetu kama walengwa?
Je atatumia nafasi hii ku-buy time ili kuwasambaratishamadaktari bila kuwafukuza...
nimetumia kisimu changu cha mchina, nilipiga picha kadhaa za uzinduzi wa kampeni CDM, kumtafuta mrithi wa udiwani kata ya kirumba. Zitto na Highness kiwia walikuwepo.
watu...
Kesho ni siku ambayo mtaalamu wa uchumi wa kimataifa na mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof.Ibrahim Lipumba atakuwa akiwasili nchini kutokea Marekani.Alikuwa kikazi kwa miezi mitano baada ya...
Naomba unijuze,kuna watu wa Nyarubanda na Mkigo,wamenipigia simu wananiuliza kama ilo swala lina ukweli.naomba majb Zitto,au mpambe wake anaweza niambia ili niwape majibu wananchi!
Iwa mwema...
Kuna tetesi kuwa jk ameteua wakuu wa wilaya wapya. Mmoja wa wateuliwa hao ambaye vilevile ni m/kiti wa UVCCM katika mkoa mmoja wapo wa nyanda za juu kusini, inasemekana ameanza kujigamba na...
Chama chetu kimezindua kampeni za uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki. Uzinduzi ulifana sana kwa maandamano ya wananchi kutoka pande zote za Jimbo na pia Helkopta...
..Ni kama upepo umeanza kuwageukia CCM,baada ya kuwazushia wazee wa ARUMERU kuwa awamtaki LEMA sasa hali imeanza kuwa tofauti kabisa..habari zinasema kuwa wazee wakishili wamempa onyo kali...
Napenda kuwafahamisha wana Jf kote mliko na walioko ndani ya Jiji la Mwanza,leo CDM inazindua kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kirumba.Nimeanzisha Thread hii nikiwa na maana ya...
Imeelezwa kuwa mradi huu wa mabilioni ya fedha ulibuniwa na kufanyiwa upembuzi yakinifu mwaka 2002.
Mkurugenzi wa Mradi huo akihojiwa na Radio Clouds mwanzoni mwa wiki hii alisema hadi kufikia...
Kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti la leo la Nipashe ukurasa wa ishirini na nane mmoja wa wagomea ubunge amewakasirisha wazee wa meru kwa sababu ametoboa sikio kwa ajili ya kuvaa...
Wafuasi wa Chadema wakielekea katika uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki jana.
*Ni kwa sababu ya unyenyekevu wetu siyo woga
*Uzinduzi warushwa `live` kupitia Tv na...
MADAKTARI wamegoma. Manesi hawawezi kufanya kazi ipasavyo. Kwa hiyo, nao wamegoma. Wagonjwa wanazidi kufa. Nani kawaua? Ni madaktari au serikali?
Serikali inasema madaktari hawpaswi kugoma. Eti...
KAMA kuna kitu kinachokitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa sasa basi kitu hicho ni chaguzi ndogo za majimbo. Chaguzi hizo zinaivua CCM nguo na kuiweka uchi. Lakini kwa vile chaguzi hizo kwa namna...
Kuna tetesi kwamba uzinduzi wa Ccm siku ya jumatatu utarushwa live na television ya taifa Tbc.
Source: Jamaa yangu ndani ya Tbc
My take
kama uchaguzi huo utarushwa live na tbc wakati leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.