CCM wazindua kampeni Arumeru kwa gharama kubwa!!

Juma Bundala

Member
Mar 9, 2012
71
5
CCM ili kupiku umati ulikuwa siku ya uzinduzi wa kampeni ktk uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki,CCM wamegharamika kwa kukodi bodaboda zote zikusanye watu tumeshudia leo msulululu wa bodaboda kwenye kila TOTAL,hata hivyo bado hawqa kufua dafu.SWALI ni je bodaboda na watu waliowakusanya bila uhiari wao ni kujivunia?
 
ukweli ni kwamba watu wakweli wanasema hapakuwa na hamasa.Watu walikuwa wamechoka kwa vile wametoka mbali . wengine ni mara ya kwanza kupita arusha mjini na kuona watu waliokuwepo. Hivyo wengi walipoteza muda kushangaa mambo mengi kuanzia njiani hadi ktk mkutano. Wapo watu waliacha mkutano wa CCM wakaenda Tengeru kwa CDM....kisa wakasema hawakuwa at easy , na watu wapo tense hakuna kucheka wala kutaniana, kushangilia kwa staili ya kujiachia.
 
What is KISHINDO? Hili neno linanipa chefu chefu,ama kweli kuisapoti ccm bora uajiriwe mochwari
 
Back
Top Bottom