Serikali kuwauwa wananchi

Lyangalo

JF-Expert Member
Sep 10, 2009
679
234
Ninashindwa kuelewa serikali inavyochezea madaktari. Yawezekana huu ukawa mpango wa mafisadi wawachokoze madaktari ili wazile kuwatibu walalahoi. Wao na watoto wao watatibiwa nchi. Halafu tukishakufa wachukue urithi. Mungu yupo nasi Baba mwanaisha utapita na kundi lako. Tanzania itadumu milele
 
Tafakari, chukua hatua!!!!!!
 
Back
Top Bottom