washili na mkuu wao ndani ya uzinduzi wa kampeni arumeru

mintolo jingi

Member
Mar 8, 2011
16
5
washili.jpg
wa kwanza kulia mwenye kofia ya njano na suti ya kijivu na shati la bluu ni mzee SUMARI, mkuu wa washili wa koo zote za meru, anatoka ukoo wa Sumari na pia anaishi jirani kabisa na nyumbani kwa marehemu J. S. Sumari. Kazi kwa CHADEMA kupambana na nguvu ya washili
Swali la nyongeza,,,, SIOY amejiandikisha kupiga kura jimboni anapogombea?
 
Back
Top Bottom