Tendwa ona Lema alivyopokewa Arumeru kwa shangwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendwa ona Lema alivyopokewa Arumeru kwa shangwe

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Njele, Mar 12, 2012.

 1. N

  Njele JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Kiongozi wa kiwango cha Tendwa anapaswa kuwa na upeo wa hali ya juu katika utoaji wa tamko na kabla hajatoa tamko anatakiwa kufanya tathmini ya kutosha na kujiridhishwa kwamba anachosema kina ukweli unaovuka asilimia 50.99. Lakini hii ya kunong'onezwa na fulani kisha kukurupuka na kutoa tamko matokeo yake yaliyojilia kule Arumeru Kamanda Lema kupokewa kwa kiwango hiki ni dhahiri Tendwa amejidhalilisha na pia watu kuona upeo wake ni mfupi mno usio na upembuzi yakinifu. Aibu hii kwa wenzetu alitakiwa kujieleza na kumwomba radhi Lema na umma.
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Duuuu...... Mbona yuko kihuni zaidi??? Chadema waleeeeeeee!!!!!!
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mhuni ni wewe unayeandika kihuni
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Oopps, not sure that is the best way and the safest way ya kuwa kwenye gari....
   
 5. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwenye wivu ajinyonge!mkalisheni wasira hivyo asinzie tuchukue jimbo,mmbwa mzee hafundishwi kuwinda bwana!cdm vivaaaah!
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Asante!
  Sijui tutajifunza lini! Afadhali Baba Sioi alifariki barabara ikatengenezwa manake na yale mawe ya hiyo barabara ya Akheri ingekuwa balaa.
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Kama Lema yuko sahihi kwenye hiyo picha, je tunaweza kweli kuimagine Slaa, MBowe, JK, PInda, au wabunge wa kike wako juu ya magari??? ...hapana, lazima tungesema wamerukwa na akili

  there is a problem there, a very fine MP portraying himself in a funny way, kesho manyoka wakiwa juu ya magari ngarenaro, sijui polisi watawakamata?

  I dont likethe photo... take it or leave it
   
 8. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lema tunamkubali huku Arumeru manake anajua kutengeneza hoja.
   
 9. O

  Omr JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halafu mkiitwa wahuni mnakasirika.
   
 10. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  nakubaliana kabisa. Lema anashawishi kundi la vijana wa rika fulani na mawazo fulani - vijana wa vijiweni. Lakini sasa anatakiwa aanze kuwashawishi na watu wenye fikira zaidi ya hapo. wenye upeo mkubwa kwa maana ya kuleta maendeleo.Kujitambulisha kwa namna ya vurugu na sifa hakumfanyi kuwa mbunge bora. Hata wakati ujao 2015 I WOULD SUGGEST CDM TO LOOK FOR ANOTHER CANDIDATE IF WE WANT TO WIN ARUSHA AGAIN.
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unajua gari iko spidi ngapi?
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Akikamatwa na polisi kwa kuhatarisha usalama wake itakuwa tabu. Hivyo alivyokwea kwenye gari, break kidogo tu anasamabaratikia mbele. Tumesahau Utii wa Sheria bila Shuruti.
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Lema ni jembe hata CCM wanajua ndio maana mapema kabisa walianza kulialia hadi wakamponza Tendwa akaropoka. Lema atagombea tena na atashinda kwa kura zaidi ya alizopata uchaguzi uliopita. Enzi hizi ni za viongozi vijana, naona mlizoea kuona kiongozi lazima awe na kitambi au tumbo kubwa kama Komba. Labda kukushauri badala ya kuhangaika kuishauri CDM itafute mgombea mwingine kama wewe ni CCM tafuteni mgombea mnayeona ana upeo kumzidi Lema au mmurudishe Batilda tena apambane na Lema.
   
 14. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mavi: Hodi
  Chupi ya Te.d....: Subiri, subiri
   
 15. A

  Amina Juma Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  mbona magufuli alipokwenda kufungua kituo kipya cha mbezi alining'inia kwenye daladala kama konda hukusema? au kwavile huyu wa chadema?????????? tena yeye ndoingekuwa mbaya zaidi coz umri umeenda bora huyu kijana acha zako bana zakuchanganya siasa na maadili
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Gari inasukumwa tuliza boli
   
 17. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ikiwa mwana siasa lazima ujue ni aina gani ya watu watakuunga mkono hilo lema analijua na ndo maana anakubalika zaidi a-town,
  aina ya wasomi tulionao wameshindwa kulikomboa taifa ukiwategemea hao cku ya uchaguzi watabaki home wanaangalia katuni.

  Viva lema.
   
 18. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duh! Hiyo Gari ya Kamanda wetu imeungua Indicator ya kulia au ndio alikua anakata kona kushoto.Maana mie nahisi ilikua imewashwa Hazard Light.
   
 19. S

  Snitch Senior Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  The funniest thing is despite Arusha being known of having possession of the vast majority of educated people but they are the ones who voted for him.

  There is a Question to ask ourselves here , I know there will be a lot to criticize me over my comments but for the sake of being objective let me continue,

  If we acknowledge intelligence as a key factor of decision making and key role In reaching a successful and positive Outcomes , but with politics I came to realize that., IT DOESN'T TAKE AN EDUCATED TO BE A POLITICIAN or AN MP but this is happening Here in Tanzania at ERA very funny.

  There should a clear understanding here I'm not saying when you are educated and intelligent you can not mess up or It's a must to deliver, but there is a relationship of the later.

  We have people like Mnyika , Zitto , Makamba, Dr kigwangala , Serukamba and Mwigulu some how you can witness the tangible contribution even if is not of a remarkable level since we differ in how we rate some one and I will be suprised if my views and Opinions will be criticized, so I can rate them equal..

  But with LEMA , SUGU and Pro MAJI MAREFU , Said NKUMBA I rate them in the same Calibre since I don't make my decision based on grudges and mob influence so I have never been impressed with the 4 MPS and neither liked them so on other Words I feel bad for the people's of respective Areas.

  Lets not be fannatical here, the logic is wide open these folks cannot make it.

  Na hili tatizo nalipigia kelele sana watu tunashabikia Chama tu tutakuja kuwekewa Taahira na kumchagua siku moja...kwakua tunashabikia Chama tu
   
 20. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ningefurahi kumuona akiwa amesimama ndani ya gari na kichwa chake kutokeza kwenye top ya hiyo gari huku akipunga mkono. Jinsi alivyokaa na mashabiki kibao wamedandia gari haifurahishi na sio salama kwake mwenyewe, wala kwa walio kwenye msafara wake.
  Picha hii ni mbaya!
   
Loading...