Lipumba Usituchezee Akili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba Usituchezee Akili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Mar 12, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nimesikitishwa na mbwembwe alizokuja nazo Ibrahim Lipumba. CUF wameona wanakufa wakaanza mmbwembwe.

  Heri JK hakuja kumpokea. Hii ndo maana watanzania hatuendelei. Kitu kidogo kelele kibao, Wapo wataalamu kibao walioudhuria na wanaozidi kuudhurua matukio makubwa zaidi ya haya, na hii ilikuwa tu ni luncheon presentation. Hii ni swala la kisiasa zaidi ya kiuchumi. na Lipumba presentation ndo hiii hapa. Sasa maswala yake ambayo yanatikisa Tanzania yako wapi? Tumechoka kuchezewa akili zetu. Jiamulieni, hizi picha na powerpoint hata form Six anaweza kuzitengeneza. Nimesikitika kweli?

  Subirini kidogo ntapandisha document inasumbua kidogo.... Mnivumilie, baada ya muda nitaweza kulipandisha Power point nzima
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Karibu mkuu!.....tunasubiri mambo ya Sheikh Ibrahim.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Chuki binafsi
   
 4. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tukupe email mkuu
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  bado tu?
   
 6. D

  Do santos JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  umeona eeeh,povu linamtoka
   
 7. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hivi CUF hawana mgombea mwingine mwenye sifa ya kugombea uraisi baragumu?

  Lipumba karibu atapewa pension ya kugombea uraisi kwa muda mrefu
   
 8. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wapo wengi sana ila sisi tunamuhitaji
   
 9. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Professor Nguyuru Haruna Ibrahim LIPUMBA
  Senior Research Fellow
  The Multi-Environmental Society (MESO)
  P.O. Box 70949
  Dar Es Salaam,
  Tanzania.

  Independent Consultant
  c/o G.V. Mtenga
  UNICEF
  P.O. Box 4076
  Dar es Salaam
  Tanzania.
  Telephone 255 22 2460775
  255 22 2860812
  Mobile Tel.255 741 625352
  Fax 255 22 2860812
  e-mail gmtenga@unicef.org or lipumba@yahoo.com

  Field of expertise: International Trade and Finance, Macroeconomics Development Economics and Agricultural Economics.

  Current research focus: (1) Impact of Liberalization of Foreign Exchange and Other Financial Markets on Economic Development in Sub-Saharan Africa. (2) Globalization and Economic Development in Sub Sahara Africa (3) Policies to
  Promote Growth in Sub Sahara Africa.

  Date of Birth: 6th June 1952
  Marital Status: Married

  Education:
  1978-83 Ph.D Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
  1977-78 M.A. Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
  1976-78 M.A. Economics, Faculty of Arts and Social Sciences
  1973-76 B.A. (Hons) Economics, University of Dar es Salaam

  Academic Honors:
  1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship
  1986-1989, Kellog International Fellow in Food Systems
  1976, Best Student Award, Faculty of Arts and Social Sciences, University of Dar es Salaam

  Employment:
  1999- Independent Consultant, Dar es Salaam
  1996-1998, Senior Research Fellow at the World Institute for Development Economics Research, UNU/WIDER, Finland.
  1993-1995, Fullbright Visiting Professor, Centre for Development Economics Williams College, USA.
  1991-1993, Personal Assistant to the President (Economic Affairs) i.e. Economic Advisor to the President of the United Republic of Tanzania.
  1989-1996, Associate Professor Department of Economics, University of Dar es Salaam.
  1996-1998, Senior Research Fellow, World Institute of Development Economics Research, United Nations University, Helsinki, Finland.
  Consultant to
  The World Bank, UNDP, Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area for Eastern and Southern Africa (now COMESA), Swedish International Development Agency (SIDA), NORAD, DANIDA, Ministry of Foreign Affairs Finland, Bank of Tanzania, Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa, African Capacity Building Foundation.

  Other Responsibilities:
  2000, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 2000.
  1999- Present, Chairman, Civic United Front, a Liberal Democratic political party in Tanzania.
  1996-1998 Visiting Professor of Development Economics, University of Helsinki.
  1995, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 1995.
  1995-Present, Member United Nations Committee for Development Policy.
  1993, Chairman, Probe Committee on the Management and Leadership crisis facing the National Insurance Corporation.
  1992, Chairman, Presidential Commission of Enquiry on the financial problems of Shinyanga Region Cooperative Union.
  1991-1993, Commissioner, Presidential Commission on Parastatal Sector Reform, Dar es Salaam, Tanzania.
  1990-1993, Chairman, Board of Directors, Imara Wood Industries, Moshi, Tanzania.
  1990-1993, Member, Board of Directors Tanzania Wood Industries Corporation TWICO, Dar es Salaam, Tanzania.
  1992-1993, Member, Board of Directors, National Insurance Corporation, Dar es Salaam, Tanzania
  1990-1993, Member, Board of Directors, Tanzania Karatasi Associated Industries (TKAI), Dar es Salaam, Tanzania.

  Selected Publications:
  . . .

  http://www.tiger.edu.pl/onas/rada/lipumba.pdf

  Jamani tusome kwenye hizo red hapo juu kabla hatuja-judge! UN sio lazima uwe Katibu mkuu cos hata hizo bodies za U
  KAZI KWAKO
   
 10. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Hako ka offer ka Dada Rose kanampatia wehu huyu. Anasema mwalimu alituangusha kutokuweka misingi imara ya uchumi. Mwalimu aliachia ngazi mwaka 1985 baada ya kutuongoza for almost 24 years. Aliachia madaraka na hakuwa amechimbua hata tumadini twetu. Wakaingia wengine na yeye akiwa mshauri wao kwa kipindi fulani. Wakauza hata viwanda vya kuachwa na mwalimu. Hapa naona kuna ajenda tofauti nyuma ya mambo haya. Haiingii akilini mwalimu alaumiwe ilihali angalau aliacha viwanda na madini yetu yakiwa salama. Hawa anaowatetea wamefanya nini kurekebisha makosa ya mwalimu? Ni miaka 27 tangu mwalimu atoke. Ni mingi kuliko aliyotawala yeye. Tumefanya nini kuokoa jahazi ambalo tunadhani mwalimu alilianzisha vibaya? Huu ni upuuzi. Ngoja nikanywe mbege yangu kwanza.
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  mkuu ninachoona baadaye hata lipumba mwenyewe atakuja kuiacha CUF au kuachana na siasa kabisa
   
 12. Unyanga

  Unyanga JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  the big problem, he is muslim
   
 13. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  VINEGA hawakuamini kilichotokea jana! Hawajapata hoja ya maana kum-dis Prof naona wanatoa mapovu tu! Mbona hatusikii ile rip cuf???!!''
   
 14. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hili ndio kubwa la watanzania, tuna kansa ya kujikana. Hebu fikiria mtu kapewa cheo cha Mwenyekiti wa Maprofesa 16 watakaoratibu mtikiso wa uchumi duniani. Bado tu hamkubali uwezo wake?
   
 15. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siyo kweli, kama hamna mseme tutawaazima kutoka CDM.
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Safari yake nchini Marekani
  Akizungumzia safari yake ya Washington nchini Marekani, ambayo alikaa huko kwa takriban miezi mitano, alikokwenda kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu demokrasia na maendeleo, utafiti ambao ulilenga kuleta demokrasia itakayoleta maendeleo na ajira katika nchi za Afrika, alisema katika utafiti alipata nafasi ya kutoa mjadala kuhusu miaka 50 ya Uhuru Tanzania na hatua ya maendeleo ambayo nchi imeifikia.
  Kwa mujibu wa profesa huyo, miaka 200 ndiyo miaka ya maendeleo ya kisiasa, lakini cha kushangaza sasa hivi nchi iko katika robo ya miaka hiyo 200 ya maendeleo lakini asilimia 70 ya wananchi wake wanatumia chini ya dola moja huku mkazi wa Dar es Salaam ambaye anahesabiwa ndiye tajiri ana uwezo wa kupata sh 650 kwa siku.
  Alisema suala la kuendelea uchumi na demokrasia linaenda pamoja hii ikiwa ni pamoja na wananchi kupata fursa ya kuikosoa serikali, kuchagua viongozi wanaowataka na kuwawajibisha.
  Mapendekezo yaliyofikiwa katika utafiti huo wa uchumi duniani, Profesa Lipumba alisema aliona kuna haja ya kuwa na asasi muhimu zitakazowezesha uhuru wa wananchi kujieleza na kuikosoa serikali.
  Pia mapendekezo mengine ni kuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi na asasi huru ya kupambana na rushwa kwa kuwa Takukuru haina uwezo ikizingatiwa kwamba haiwezi kumpeleka mtuhumiwa wa rushwa mahakamani mpaka Mkurugenzi wa Mashtaka ya Jinai atie saini jambo linalorudisha nyuma juhudi za kupambana na rushwa.
  Vilevile utafiti huo ulitaka kuwepo kwa asasi huru ya kukusanya fedha itakayofanya kazi kwa uwezo na uwazi zaidi na kuwa na matumizi mazuri ya fedha zitakazopatikana katika makusanyo hayo.
  "Katika hili wananchi wa Tanzania wanaweza kufunguliwa kila mmoja akaunti yake bila kujali ni mtoto au mkubwa ambapo rasilimali zote kama gesi, mafuta na madini kiasi cha mapato yake kinagawiwa kwa kuweka katika kila akaunti ya mwananchi na makato ya kodi yanatolewa humohumo hali itakayofanya kila Mtanzania kufaidika na rasilimali zilizopo badala ya sasa hivi rasilimali hizo kufaidiwa na wachache.
   
Loading...