Wazee wa dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wa dar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Mar 13, 2012.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,066
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  Hivi, wazee wa dar wakiumwa watakimbilia wapi? Au ndo kukosa maarifa? Maana ni ukweli usiopingika katika watu ambao wangetakiwa wawe mstari wa mbele katika kutetea maslahi ya madaktari basi ni wao maana katika umri wao huo daktari ni mtu wa karibu kwao! lakini kinyume chake ndo kimekuwa kweli, natumaini watakapotia timu Muhimbili, Temeke, Mwananymala na Ilala basi JK na Idd Simba watakuwa nao kuwatetea! Mizee ovyo sana hii...!
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Siyo wazee wa Dar ni wazee wa Pwani. Wakilishwa pilau sahani moja unaweza kuwachezea upendavyo. Chama cha magamba kina uzoefu nao sana.
   
 3. luhala

  luhala JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 412
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si sahihi kuwahukumu wazee wote wa Dar kwa vitendo vya wazee mamluki wachache wanaohongeka kwa wali na Sh elfu tano tano za nauli. Ukweli ni kwamba hao wanaojiita wazee wa Dar ni vibaraka wa CCM wenye upeo mfinyu wa uelewa wa siasa za nchi na ambao kwao maisha ni kula, kunywa na kucheza bao. Hakuna anayefahamu utaratibu wa kuwapata wapiga vigelegele na makofi hawa wanaotuaibisha wazee wote na cha kutia kichefuchefu zaidi eti mwenyekiti wao ni Fisadi Iddi Simba!
  Siamini kwamba yuko hata mzee mmoja makini atakayeishabikia serikali hii isiyo na aibu katika kufisadi haki za wazee kuanzia wastaafu wa Iliyokuwa Jumuia ya Afrika Mashariki hadi wa serikali ambao licha ya kulipwa kiduchu bado wameendelea kudhulumiwa pension zao kama ilivyofanyika juzi juzi tu mwezi Januari walipolipwa pensheni ya miezi mitatu badala ya miezi sita! Shame on them, Shame on Corrupt CCM government.

   
 4. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Njaa ni mbaya hakuna ubishi.
  Laknini,njaa ni mbaya kuliko kifo pale uivaliapo kibwaya.
  Ukifa Unakufa mara moja heshima yako inarudi pale pale.
  Lakini njaa ya kuendekeza we acha tu, itauma leo itauma kesho itauma ukiwa na miaka75 na kukufanya ule hata matapishi yako.
  Ukizeeka njaa ya kuendekeza haizeeki na wewe.
  Hii ndiyo asili ya vibabu vyenye njaa ya kuendekeza kujazana CCM
  Vizee vina jazana CCM na kung'ang'ania kushika hatamu kwa sababu njaa ya vishaibu hivyo na njaa ya Waziri bwana mdogo Nchimbi zinafafa copy cat.
   
 5. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  :thinking:Nafikiri umemaliza kusema kila kitu. Hivi vizee ni mlo wa siku moja tu. hivi wengine wanavaaga jezi za CCM ili iweje?
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  supported by me
   
Loading...