CHADEMA yachangiwa mamilioni kwa ajili ya uchaguzi Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yachangiwa mamilioni kwa ajili ya uchaguzi Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Molemo, Mar 12, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Chadema kimekusanya Sh8 milioni kutokana na harambee ya kukichangia iliyoanza juzi katika uzinduzi wa kampeni za jimbo hilo.

  Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba alisema fedha hizo zimekusanywa kupitia michango ya papo kwa papo na simu. Alisema Sh2.2milioni zilikusanywa uwanjani na Sh5.7 milioni zilikusanywa kwa njia ya simu hadi kufikia juzi jioni.

  Alisema chama hicho kimeandaa chakula cha jioni Ijumaa wiki hii kwa ajili ya kukusanya fedha za kugharamia kampeni hizo... “Nia ya kukusanya fedha hizi ni kutaka watu wajione ni sehemu ya Chadema katika shughuli mbalimbali za chama.”

  Source:Mwananchi
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wagamba wanatoa fedha kuhonga wananchi CDM wanachangisha wananchi na kuwashirikisha kama sehemu ya chama. Hapa kuna tofauti kubwa sana.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli kwa mpango huu magamba chali.
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Magamba safari hii lazima wafe kwa ugonjwa wa NAMBULILA.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Chadema vigeugeu kweli. Wa kwanza kusema wananchi wana maisha magumu, haohao wanakwenda kuwanyang'anya hata kile kidogo walichonacho kwa kuwatembezea bakuli. si usanii huo, ila ndiyo laana yao, walifanya hivyo uchaguzi mkuu, Igunda, Busanda lakini mwishoe chali.
   
 6. B

  Baba Jotham Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Am so hap,nataman watanzania tuonje na kujifunza mabadiliko
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nyie ndo manaofikiria kwa makalio..igunda ndio wapi?
   
 8. T

  THEO LYIMO Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawazo yangu kama msema chochote wa chama kwa upande wa nkoaranga poli kilala maana ndo maeneeo nilipo kufanya kazi za chama napenda waitishe kila kata alafu watu wachangie maana watu wote hawata fika wote
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Ruzuku ya Chadema ya Milioni 809,545,848 kwa mwaka, inafanya kazi gani?
   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  chama chochote cha watu ni lazima kichangiwe na watu so hata watoto wanaosoma o level watakwambia na mfano ni chama cha tanu kilikuwa ni chama cha watu and zas y kilichangiwa na watu; so if unataka MATUMIZI YA FEDHA ZA RUZUKU NENDA MAKO MAKUU YA CHAma ukaulize na sio kuleta *****.
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu ukinyamaza kimya unapata hasara gani? Mbona unajidhalilisha hivyo?
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Point of correction: Kwa taarifa yako CDM inapata hela nyingi kuliko ulichoandika hapo juu.Unajifanya mjuaji kumbe ni hamnazo.
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Huna tofauti na bulicheka
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Usinchekeshe mkuu
   
 15. M

  Molemo JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tuko pamoja mkuu
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  wazee wa ku COPY & PASTE mpoo?helicopter,katiba mliiga na hii muige
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Ritz,
  Mkuu elewa kwamba chadema inafanya shughuli za kila siku za kichama, hivyo hiyo ruzuku uliyoisema imetolewa na serikali kulingana na mahitaji. Ruzuku uliyotaja siyo sehemu ya fedha za kampeni kwenye jimbo lolote lile!
  Amka Ritz acha kulala CHADEMA wanahitaji mchango wako wa hali na mali kufanikisha kampeni Arumeru!
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikusaidie kidogo, kwa mujibu wa CAG inaonyesha kwamba Chadema inapokea Sh1.37 Bilioni kwa mwaka.

  Lakini Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema Anthony Komu, anasema Chadema wanapata Milioni 809,545,848 kwa mwaka.

  Mie nimefuata maneno ya Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema.

  Kama wewe unadhani ni uwongo njoo na wewe na data zako.
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu hangaika na mambo ya chama chako.Labda nikuulize hivi unadhani Arumeru kutakuwa na kampeni za uchochezi wa kidini kama tulioshuhudia Igunga?
   
 20. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,538
  Likes Received: 10,460
  Trophy Points: 280
  acha uvivu wa kufikiri hata yesu mwenyewe alipokea sadaka ya mama mjane na kutangaza hadharani kwamba yeye ndio ametoa zaidi.....tofauti ni kwamba ccm wanakuibia huku unaona wakati chadema unatoa kwa hiari yako.!
   
Loading...