TBC yakacha kuonesha uzinduzi wa CCM!!!!????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC yakacha kuonesha uzinduzi wa CCM!!!!?????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bmp, Mar 12, 2012.

 1. b

  bmp Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau,

  Inaelekea uzinduzi wa kampeni za Arumeru in aibu maana TBC1 haijaipa coverage yoyote, habari za nymbani zimeisha sasa ni habari za kimataifa!!!
   
 2. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ajabu ya Dunia TBC wamerudia habari za ndani kwa kuchomeka habari ya arumeru wakimuonyesha Mkapa akikanusha madai yaliyotolewa humu jamvini kuwa anamashamba aliyoyapora kwa wananchi huko arumeru taarifa hiyo imechomekwa baada ya kusomwa taarifa za habari za kimataifa TBC kumbe magamba wanasoma jamiiforams watakoma mwaka huu wamezoea kuzurumu wananchi.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nikupe ID ya Mkapa hapa ndani?....Lol...utacheeeeka!
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani ya magwanda walileta jana?
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani walichelewa kuipata taarifa ile lakini imesomwa. Kitu nilichoshangaa ni Mkapa kukanusha madai ya ufisadi wa kumiliki ardhi na Sioi kupewa coverage ndoto tena akiwa anaonekana hajiamini kabisa.
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  piche zenyewe walizoonyesha sijui wamezitoa wapi kuziangalia macho yanauma nimeangalia mara mbilimbili sijapata jibu.!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  "...Namshukuru sana Mkuu wa MKOA WA ARUMERU"....By Sioi Sumary!
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  wameshasoma alama za nyakati
   
 9. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  waandishi wao wa Arusha vilaza Leonard Manga na mwanadada seche kongola walikuwa wanaandaa kipindi cha "BANGO" teh teh
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sikiliza redio WAPO FM ndo ujue kuwa CCM ni noma, pamoja na CHADEMA kuwepo na magari yao kusumbua bado ilikuwa noma.
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  View attachment 49188

  Mkuu watu walikuwepo wa kutosha tu, sema tu sijui kama walisombwa na malori au walikuja wenyewe
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CDM bana TBC wakionyesha mnasema wanatumika wasipoonyesha wamekacha kulalamika ndiyo jadi yenu.
   
 13. B

  Bwana Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sometimes mashabiki wenzangu wa CHADEMA huwa ni kero. Jaribuni kuwa reasonable. Yaani hata mazuri kwenu mabaya. WHY??????????????????? Mnapotosha sana wakati mwingine. Semeni kile kitu amabcho mnajua ni kweli kimetokea sio kuongea uongo mpaka wenzenu tunasutwa mitaani kwa sababu mara msem hakukuwa na watu na sisi tunaamini hivyo ukija kuangalia news unakuta umati wa watu. SIPENDI MNIPOTOSHE.
   
 14. M

  Makupa JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hawatambui wanachokiamini
   
 15. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  well said mkuu, walitupa matumain kuwa ccm hawakuwa na watu kabisa kumbe ni uongo, mara TBC imegoma kutangaza kumbe imetangaza, jaman chadema kwenye ukweli tuseme ukweli kuwa mambo ni magumu ili tutafute njia nyingine.
  Tukumbuke sio kila siku sisi tutakua sawa, tubadilike na tukubali ushindani na pia kukosolewa
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  huo ni wivu mfano mwannamke akiona mume wake anaongea na m'ke mwingine lazima alalmike
   
 18. n

  naft Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  itawekewa kipindi maalumu hio. Haiwezekani mkapa asipewe EXCLUSIVE airtime
   
 19. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  mtainama kama igunga, kwani kujaa mkutanoni na kuonesha vidole viwili ndo nn? Ushindi ni sanduku la kura,, hv hutambui kuwa wachezaji 11 uwanjani wanaweza kuzima shangwe za umati wa washabiki 67,000 kwa goli moja? Mwenye akili atagundua ninasema nn.
   
Loading...