Mawaziri wa siku hizi Tanzania wana tabia mbaya - BBC

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
BBC imeripoti kuhusu Raisi kuongea na wazee wa Dar es salaam.

Ila nimeguswa na comments moja ambayo mwandishi wa BBC aliyeko Dar es salaam amesema kuhusu Mawaziri.

Amesema kuwa anashangaa mawaziri siku hizi hawa wajibiki inapotokea tatizo, akaendelea kufafanua kuwa sio lazima waziri awe amefanya kosa directly, ila kama tatizo limetokea kwa wizara yako wajibika.

Mwandishi Ameshangaa sana kwa nini Uongozi wa Tanzania umekuwa hivi mawaziri hawawajibiki??

Akatoa mfano kwa mawaziri waliowajibika enzi hizo kama Mzee Mwinyi, Mzee Mbilinyi na MZee Iddi Simba.
 
Huyo hakuwa mwandishi wa habari, bali mhadhiri wa chuo kikuu cha dsm anaitwa ' Ally Bashiru'
 
Back
Top Bottom