Kumbe hata kuitwa Daktari mwanafunzi kwa Interns Doktors ni moja ya makosa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe hata kuitwa Daktari mwanafunzi kwa Interns Doktors ni moja ya makosa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 12, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kutokubalika kwa Waziri wa afya na naibu wake kulikosababisha madaktari
  wampe JK masaa 72 kuwaondoa katika wizara hiyo ni pamoja na waziri kuwaita
  interns madaktari wanafunzi.

  Kwa mliopitia vyuoni kwa mafunzo ya taaluma, internship hufanywa wakati ukiwa
  mwanafunzi na hivyo sahihi kuitwa mwanafunzi au ni kosa kama alivyofanya
  aidha waziri au naibu wake?

  Nawasilisha.
   
 2. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu kila siku tumekuwa tukijadili maoni na madai ya madaktari humu, huyu mkwer.e humjui wanataka popularity anazungumza hadi yeye mwenyewe nafsi yake inamsuta.
  Go to hel mkwe.re
   
 3. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ngoja nikupe tofauti ya haya maneno, nitatumia maneno ya kiingereza:

  1. Medical student(s) huyu ni m(wa)nafunzi anayesomea udaktari (wa meno au wa jumla) kwa maana kwamba bado yuko chuoni anasoma na hajahitimu, anaweza kuwa mwaka wa kwanza au wa tano.

  2. Intern doctor(s) huyu ni daktari aliyekwisha hitimu na kutunukiwa shahada ya udaktari na anatumikia kipindi cha lazima cha mwaka mmoja mafunzoni akiwa chini ya uangalizi wa madaktari bingwa kabla hajasajiriwa rasmi na kutambulika kama daktari kwa mujibu wa sheria.

  3. Resident doctor (s) huyu ni daktari aliyesajiriwa na yuko mafunzoni kwa ajili ya kusomea umahili (specialization) katika fani za tiba.

  Si sahihi kumwita intern doctor kuwa ni mwanafunzi bali unaweza kumwita "trainee doctor" au daktari aliye mafunzoni. Kimsingi ni daktari, ila bado hajasajiliwa ndio maana yuko mafunzoni (mafunzo kazini), na sio mafunzo shuleni.
   
 4. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  umeongea maelezo meeeeengi sana ila umefeli kitukimoja kirahis tu nini MAANA YA INTERNS DOCTOR kwa kiswahili bila ya kunyumbulisha maneno kwa kiswahili mfano doctor= dactari.

  kwa mujibu wa
  oxford dictionary-interns number one means in american inglish a recent graduate receiving supervised training in hospital and acting as an assistant physician or surgeon
  number two means a
  student or tranees who does a job to gain work experience or qualification

  maana yake ni kwamba unaweza ukamwita student or traineees yote ni sawa tuu mkubwa DKHAJJI HAKUKOSEA KITU MKUU NA HAKUNA HOJA APO YAKUMSHINIKIZA KUGOMA CHAMSINGI FANYENI MAZUNGUMZO NA SERIKALI KUPATA UFUMBUZI WA MATATIZO YENU
   
 5. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli kama ni lugha umefeli vibaya sana. Huwezi kusema maana ya doctor = dactari (daktari), kwa hiyo ukiulizwa daktari maana yake ni nini utajibu kuwa ni doctor?. Hapo hujatoa maana ila umetoa tafsiri ya neno la kiingereza doctor kwa lugha ya kiswahili. Maelezo niliyoyatoa nimeeleza unaposema "intern doctor ina maanisha nini.

  Pili, mfumo wetu wa kufundisha madakatari ni tofauti na mfumo wa marekani ndio maana dictinary hiyo uliyotumia imezungumzia aina mbili za "intern number" one na "number two".

  Hapa Tanzania kuna "interns" peke yake ambaye ni mhitimu wa shahada ya udaktari anayefanya mafunzo ya kazi hospitalini mara tu baada ya kuhitimu kwa nia ya kupata uzoefu na kupata vigezo vya usajiri katika baraza la madaktari Tanzania.
   
 6. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hivi kuitwa daktari mwanafunzi ni moja kati ya matatizo ya madaktari wetu??????
   
 7. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  narekbisha ,doctor ni daktari,ila nawewe umechemka hivi oxford dictionary ni ya marekani? Oxford dictionary inafafanu english language as american language na english language as first internaional language so ukisema interns in american english haimaanishi inatumika marekani tuu mkuu.tatizo lako unaonekana ni msomi ila utaki kukubali kwamba kuna wasomi wanaoweza kukuzidi hoja hii ndiyo jamiiforum wakati mwingine inabidi ukubali kujifunza sio kila wakati unataka kufundisha tu. Rudia maana ya pili inasema interns ni "student or trainees" sasa wewe umetumia trainees same tine unapinga eti sio student kitu ambacho si sahihi
   
 8. S

  Siasa Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama hilo ndio lilowafanya madaktari wetu kukugoma basi tuna kazi ngumu nchi hii
   
 9. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mie wala sijasema popote kwamba neno "interns" halitumiki sehemu zingine duniani. Lakini pia si duniani kote linatumika, ndio maana Oxford dictionary ikasema " in american english" kwa kuwa Uingereza kwa waingereza hawatumii hilo neno kwenye progran inayofanana na hiyo.

  Pili, mie sijajigamba humu kwamba hakuna mtu au hakuna msomi mwingine yeyote anayenizidi kwa kutoa hoja. Hizi ni hoja zako ambazo si sehemu ya mjadala.
   
 10. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Duh! Kumbe computer haikufanyi uandike hoja nzuri na wala usiwe na mwandiko mzuri. Sikujua. Hebu fananisha hao wawili, yupi ana akili!!!
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wewe huoni kwamba ni tatizo?kauli ya waziri wa afya inaweza kuondoa tamko la jopo la maprofesa waliosema
  huyu mtu ni daktari.jaribu kuwa great thinker
   
 12. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aya tumalize ubishi INTERNS=MADAKTARI=MA SPECIALIST=MATABIBU KILICHOBAKI DAI HAKI ZENU BILA KUGOMA THIS TIME AROUND UKIGOMA AMRI YA RAISI NI SAWA NA UHAINI NA KITAKACHOFUATA NI KUWATIMUA KAZI MADAKTARI WOTE KAMA WALIVYOFANYA KENYA KITU AMBACHO MHE DK KIKWETE AKA JEMBE ATAKI TUFIKE APO
   
 13. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  kwani jopo la maprofesa kazi yao kutafsiri lugha ya interns ni wanafunzi au madaktari?
  Nini maana ya interns kwa kiswahili ?si inarudi palepale ni wanafunzi
   
 14. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Naona watu mnajibu hoja kimagamba magamba hapa.....
   
 15. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Hivi hili ni jukwaa la siasa au lugha.
   
 16. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Serikali ya Kenya imeshaomba msamaha na kutoa tamko kuwa aliyetangaza hivyo aliteleza, ilikuwa ni jaziba tu.

   
 17. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wote mmechemka kiswahili cha doctor,doctor ni kiswahili chake ni tabibu wakuu.
   
 18. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwani kuitwa mwanafunzi ni matusi? Wabongo bana sijui arrogance hii wanaitoa wapi wakati hata consultant mwenyewe kuna vitu havijui inabidi akapate shule na kipindi anapata shule anaitwa nwanafunzi!
   
 19. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,399
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  "aya tumalize ubishi INTERNS=MADAKTARI=MA SPECIALIST=MATABIBU KILICHOBAKI DAI HAKI ZENU BILA KUGOMA THIS TIME AROUND UKIGOMA AMRI YA RAISI NI SAWA NA UHAINI NA KITAKACHOFUATA NI KUWATIMUA KAZI MADAKTARI WOTE KAMA WALIVYOFANYA KENYA KITU AMBACHO MHE DK KIKWETE AKA JEMBE ATAKI TUFIKE APO" ................kaka upo nyuma kimtindo, huko kenya walikuwa manesi, na hata hivyo wamekengeuka waliotoa tamko au jazba hilo
   
 20. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Nafikiri kwa ninavyoelewa mie.

  Mwanafunzi ni mtu yeyote anayejifunza, si lazima uwe darasani, ninaweza kuwa na wanafunzi wangu ktk kuwinda tembo. Regardless nini, kama unafundishwa bado ni mwanafunzi.

  Hata mwalimu anaweza kuwa mwanafunzi. Siku moja mtakuja kutuambia Rais ni neno ambalo mpaka uwe mkuu wa nchi ndo uitwe rais.
   
Loading...