JK kuhutubia Taifa leo kupitia uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru EAST | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kuhutubia Taifa leo kupitia uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru EAST

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by shykwanza, Mar 12, 2012.

 1. s

  shykwanza Senior Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi zimeenea kuwa leo hii Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh JK atahutubia taifa kupitia mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa chama chake cha CCM. Atafanya hivyo kujibu mapigo ya Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe; Hivyo basi hii itakuwa suprise kwa Watanzania wote, nataarifa zilizopatikana hadi sasa ule mkutano wake na Wazee wa DSM umehairishwa hadi mwisho wa mwezi huu
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kuweweseka tu!
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 13,005
  Likes Received: 5,890
  Trophy Points: 280
  kweli wamepatwa na kiwewe. bado wanaamini eti anamvuto!!!
   
 4. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hata kama CCM wakimleta Marehemu Baba wa Taifa, Arumeru wataisikia kwenye bomba tu.
   
 5. U

  Userne JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakuvunda halinaga ubani!
   
 6. N

  Nyongolo Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duuuuuuuuh.. huyu jamaa nani huwa anamshauri lakini? mbona anafanya vitu visivyoelewekw kabisa! kweli tz tuna rais kiboko.
   
 7. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kali, kwa njia gani TV au Redio?
   
 8. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,632
  Likes Received: 2,879
  Trophy Points: 280
  Kwani, kati ya kiboko na mamba nani kiboko?
   
 9. s

  sanabana Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Title-kuhutubia
  Body-tetesi,wapi na wapi?
   
 10. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,565
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kupitia gazeti la sani
   
 11. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,565
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kiboko!!
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,812
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Sasa atatoa ahadi nyingine 60?? au atarejea ahadi alizotoa ??

  angalieni asiwaharibie kampeni, maana naskia alikua hamtaki Siyoi
   
 13. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nonsense post
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hivi huachi tabia yako ya kuropoka? Utakuwa lini? Rais kweli ahutubie Taifa kupitia mkutano wa Kampeni ndogo kama hizo, inaonekana umekonda sana kutokana na kipenzi cha wengi kuwa pale magogoni.
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,207
  Likes Received: 3,188
  Trophy Points: 280
  Aende na kadi ya mpiga kura ya Siyoi, haiwezekani Siyoi awageuze watu wa Meru kuwa MUNDU wampigie kura wakati yeye hajipigii
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wewe unamsikiliza huyo aliyeamka nazo baada ya kzinywa za bure kwenye kitchen paty yake weekend.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwani kadi ya kupigia kura inatangazwa kama kadi za harusi? Mlitaka awaoneshe ili iweje?
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,777
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Atahutubia Taifa kupitia ufunguzi wa Kampeni?
  Kwani anakwenda kwenye huo ufunguzi kama Rais wa nchi ama kama Mwenyekiti wa CCM?
  Haya siyo matumizi mabaya ya Taasisi ya Urais Jamani?
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Haiwezekani Prsesident akahutubia mikutano midogo kama hiyo. Mzee mkapa atamaliza kila kitu, mbona kazi ndogo sana hiyo kwa BEN.
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,976
  Likes Received: 1,749
  Trophy Points: 280
  Kikwete ni raisi, anauwezo wa kuhutubia popote paleanapoamua.
   
Loading...