Taarifa nilizopokea usiku huu (majira saa 5: 23) na kuthibitishwa na
Mbunge wa Chadema Jimbo la Ilemela Haines Kiwia, zinadai Mgombea
Udiwani kwa tiketi ya CCM Jacksoni Masamaki ametiwa mbaroni...
Kikwete amekuwa madarakani kwa miaka sita. Alipoingiaalipendwa na kila mtu hata maadui zake.Je bado Kikwete ni yule yule au kalewa madaraka na kuharibikiwa? Hii ni kurayangu ya maoni juu ya...
BWM ANATEGEMEA KUONGEA MCHANA HUU PALE HABARI MBELE YA WAANDISHi WA HABARI KUTOKANA NA TUHUMA ZA KUMUUA JKN
source OFISI YA BWM
==========
UPDATES
WADAU NIMEPENYEZEWA HABARI KUWA BMW...
Mimi chama nimekichoka na sikipendi kwanini mtishie maisha yangu na kunifanya mtumwa wachama hicho??sasa hapo uhuru wangu uko wapi?Nanichukuliwa kama nimehaini kwa sababu ya mitizamo na itikadi...
Vikao vimekuwa vizito vya tume ya uchaguzi kufuatia utata wa uraia wa mgombea wa CCM. Hali hiyo imeibuka kufuatia uhalisi wa kisheria kuwa SIOI hakuwa kuukana uraia wa kenya ambao aliupata kwa...
Imetangazwa kupitia RADIO ONE BREAKING NEWS kuwa hivi sasa Tanroads wanaendelea na zoezi la bomoa bomoa huko kimara.
Bomoa bomoa hiyo imehusisha zaidi vibanda vya biashara vya walala hoi.
Siku nikipata nafasi ya kuwateulia watanzania rais kutoka katika vyama vyetu vya siasa nitawateua wafuatao:-
1) kutoka CCM nitamteua Edward Lowasa kuwa rais.
Yeah kweli kabisa na nipo serious...
wadau nakumbuka mara baada ya kuisha kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la tarime mjini kupitia chadema, ndugu mwita mwikabe waitara alifungua kesi ya kupinga...
Mimi nikiwa ni mtu mwenye umri wa miaka 46 sasa nachukua fursa hii kukipongeza kizazi kipya (vijana) madaktari wetu ambao wameonyesha ujasiri wa hali ya juu kuandaa na kufanikisha mgomo wa...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa na kawaida ya kuongea na 'Wazee wa Dar es Salaam' hasa anapoongelea masuala yashikayo chati nchini.Kwa mfano,aliongea na wazee hao pale alipochimba biti kwa...
Hakuna mtu mwenye uhakika kua Jack Masamaki(mgombea wa udiwani kirumba,mwanza) alikamatwa usiku wa jana kwa kosa la kugawa pesa,na bado mbunge wa ilemela anathibitisha kua ni kweli kupitia...
Viongozi wetu:
Ni wajivuni na kila mmoja anajali maslahi binafsi;
Hawana upendo wala heshima kwa wananchi ambao ndiyo waliyowaweka madarakani;
Wanapenda kuombwa na kuambudiwa badala ya kujituma...
Hivi CCM na mapolisi wao wamepanga kuwakamata na kuwafungulia maashitaka wabunge na viongozi wangapi wa CDM huko Arumeru?
Habari nilizozinusanusa ni kwamba viongozi watatu wa CDM yatawapata...
Duniani kote kuna Watanzania wa aina mbili tu - wale wanaoamini CCM itashindwa katika uchaguzi mkuu wa 2015 na wale wanaoamini kuwa itashinda. Kila kundi lina orodha ya sababu zake, lakini ipo...
Piga kura yako ya "JF Female Politician Of The Year 2011" hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/231099-jf-female-politician-of-the-year-2011-a.html
Wana Jamii
Baada ya Mchakato wa...
Ndugu naibu waziri na mbunge wa songwe(chunya) fuatilia suala la kilimo cha pamba katika wilaya yako maana kuna blah blah nyingi za kisiasasiasa
kunatetesi pamba ilikatazwa kulimwa ili kulinda...
Jana wakati Rais JK anaongea na wazee wa DSM aliligusia hili la wanaharakati wetu jinsi walivyoshiriki katika mgomo huu, ingawaje kwa walio wengi ambao walisapoti Drs hili wataliona ni moja ya...
Mwaka 1995, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akimnadi Benjamin William Mkapa (mtu mzima wakati huo) dhidi ya waliojiita vijana aliasa akasema, Mkiwachagua hawa vijana watakuja...
Kwa mara nyingine tena jeshi la polisi limeingia kwenye kutoa report tata zinazoibua maswali juu yake,kwenye sakata la kuibia naibu waziri Malima polisi wamesema aliyeiba sio mwanamke lakini vitu...
wadau mimi nimejaribu ku-google madai kuwa prof alikuwa akishauri mambo ya uchumi kwa kutumwa na UN sioni kitu
nimepata haya
Prof.Ibrahim Lipumba/UN - Google Search
hivi siyo danganya toto na...