Philip Mulugo hebu timiza wajibu wako katika hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Philip Mulugo hebu timiza wajibu wako katika hili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Red Giant, Mar 14, 2012.

 1. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,977
  Trophy Points: 280
  Ndugu naibu waziri na mbunge wa songwe(chunya) fuatilia suala la kilimo cha pamba katika wilaya yako maana kuna blah blah nyingi za kisiasasiasa

  kunatetesi pamba ilikatazwa kulimwa ili kulinda bei ya pamba mikoa ya kaskazini, kama ni kweli hii ni conspiracy!

  mara eti kuna mdudu anakula pamba sasa wanamzuia asiende kaskazini, this is bullshit!. kwani huyo mdudu anakula

  pamba tu? kama ndio basi mpaka saa hizi atakuwa amestarve to death, kama hapana mbona ameshidwa kwenda kupitia

  mimea mingine! fanyeni maarifa asiende kupitia pamba pia. hata hivyo kwani hakuna insecticides? kiwanda cha pamba mbeya kilichomwa! nasikia na lindi na mtwara ambako mjerumani alipeleka pamba kwa mara ya kwanza mmezuia kulima wakati across the boda msumbiji watu wanalima tusaidie mkuu au tueleweshe.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ukiiona na kuielewa cv yake hutamuuliza swali huyu kilaza waziri
   
 3. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  msamehe Mulugo bure
   
 4. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,977
  Trophy Points: 280
  naipata sivii yake wakuu lakini nahisi hili halihitaji akili nyingi kulitatua.
   
Loading...