Kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Tarime mjini

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
wadau nakumbuka mara baada ya kuisha kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la tarime mjini kupitia chadema, ndugu mwita mwikabe waitara alifungua kesi ya kupinga ushindi wa ubunge wa ndugu nyambari nyangwine. Kwa muda mrefu sasa sijajua maendeleo ya kesi hii. Yeyote mwenye taarifa juu ya kesi hii naomba atujuze.
 
Wewe ndiye uliyepost unatakaje taarifa kwetu?
Unakurupuka kuanzisha post kumbe mweupe!
 
Wewe ndiye uliyepost unatakaje taarifa kwetu?
Unakurupuka kuanzisha post kumbe mweupe!
Ile ilikuwa ni danganya toto wakati kada huyo wa zamani wa chama cha mapinduzi aliuza hilo jimbo kwa tyson akishirikiana na esther matiko na mwenyekiti wa chadema taifa naye alipata mgawo wake na ndiyo maana wapiganji wote akiwemo heche walikimbilia hai, pia kuna mtu mmoja ni marehemu alisema ndani ya kamati kuu ya chadema kumpitisha waitara kugombea tarime ni kuuza jimbo , nasikia mweneykiti alijibu potelea mabli hata wakilipoteza powa tu
 
Unataka kusema MBOWE alipokea mgawo na kwamba alimpinga REGIA MTEMA?
 
mbowe hana njaa hizo ulizo nazo wewe acheni kuchafulia watu majina!!!
 
Wadau nakumbuka mara baada ya kuisha kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini kupitia chadema, ndugu Mwita Mwikabe Waitara alifungua kesi ya kupinga ushindi wa ubunge wa ndugu nyambari nyangwine. Kwa muda mrefu sasa sijajua maendeleo ya kesi hii. Yeyote mwenye taarifa juu ya kesi hii naomba atujuze.

Mkuu hakuna Jimbo linaloitwa Tarime Mjini wala Tarime Vijijini. Tunaomba ukajipange upya.
 
Anayeonge ana umbea tu , Tumuulize vizuri Mweneyekiti wa Baraza la wazee Chadema. Mie aliniambia kuwa kushinda Tarime ni lazima Yule Mbunge aliyekimbilia CUF arudi chadema
 
Back
Top Bottom