Hatuta endelea au kukua kisiasa kama tutaendeleza siasa za uhongo

FREDRISH FELIX

New Member
Mar 14, 2012
4
0
Hakuna mtu mwenye uhakika kua Jack Masamaki(mgombea wa udiwani kirumba,mwanza) alikamatwa usiku wa jana kwa kosa la kugawa pesa,na bado mbunge wa ilemela anathibitisha kua ni kweli kupitia mwandishi wa gazeti la mwananchi je mbunge huyo alikuwepo eneo la tukio au anasikia tu?na kwa habari zilizo hewani ingawa azina uthibitisho ni kuwa mbunge huyo alikuwa amelewa je atasemaje ukweli kwa hali iyo?
Jameni tusiwe waenezaji wa habari za uhongo.
 
Si bora huyo mbunge ana kisingizio cha ulevi, je Pinda kuhusu mauaji ya Arusha pale bungeni ana kisingizio gani, Na hao mapolisi wa morogoro wanaobisha kwamba Waziri Malima hakuwa na Smg wakati Malima mwenyewe tulimsikia kupitia TBC1 Kwamba aliachiwa hzo silaha tena sio silaha tu kwa mujibu wa Maelezo ya Waziri malima huyo mwizi alimwachia mtaji mkubwa(Bunduki) bila kuuiba.
 
Kama mtu kasema uongo, wewe sema ukweli wake. Kama na wewe huujui ukweli kaa kimya. Kama ukweli uliosemwa umekuuma, vimba na upasuke!
 
Hakuna mtu mwenye uhakika kua Jack Masamaki(mgombea wa udiwani kirumba,mwanza) alikamatwa usiku wa jana kwa kosa la kugawa pesa,na bado mbunge wa ilemela anathibitisha kua ni kweli kupitia mwandishi wa gazeti la mwananchi je mbunge huyo alikuwepo eneo la tukio au anasikia tu?na kwa habari zilizo hewani ingawa azina uthibitisho ni kuwa mbunge huyo alikuwa amelewa je atasemaje ukweli kwa hali iyo?
Jameni tusiwe waenezaji wa habari za uhongo.
Wewe unawashangaa watu wa humu JF na hasa wale wanaojiita wapenzi wa CHADEMA. Ndiyo zao uongo mtupu hawana sera tena sasa wamebaki kuwahadaa wananchi. Na mwanza msiposhtuka mapema mkawapiga chini hawa CHADEMA itakula kwenu. Kwanza huyo mbnge wa Ilemela yukoje manake mimi namsikiaga tu kwenye matukio ya pombe pombe tu.
 
Kama mtu kasema uongo, wewe sema ukweli wake. Kama na wewe huujui ukweli kaa kimya. Kama ukweli uliosemwa umekuuma, vimba na upasuke!

inaonekana wewe ndo limekugusa sana , humu hapasuki mtu. umeshaambiwa Mbunge wa Ilemela alikuwa amelewa sasa unataka uambiwe ukweli gani? au ndo wale wale hujaitwa unakimbilia kuitika beee. Vimwana wengine bwana puuu.
 
Back
Top Bottom