Madai ya Prof Lipumba kuwa alikuwa UN akishauri Uchumi ni changa la macho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madai ya Prof Lipumba kuwa alikuwa UN akishauri Uchumi ni changa la macho?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by qq.com, Mar 12, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wadau mimi nimejaribu ku-google madai kuwa prof alikuwa akishauri mambo ya uchumi kwa kutumwa na UN sioni kitu
  nimepata haya
  Prof.Ibrahim Lipumba/UN - Google Search

  hivi siyo danganya toto na kutafuta umaarufu kwa kisiasa.

  ebu wenye japo link,inayoonesha hivyo atuwekee ili tuamini,maana wengine ni THOMASO

  nitashukuru
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sasa jiulize Usa kenda kufanya nini kwa hyo miezi mi5?
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  jifunze kugoogle na wewe, mbona wengine tumeipata
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Hakuna madai hapo sio kila kitu mpaka uminyane, uwezi kuzuia mvua huyo jamaa ni kichwa mkuu.
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mimi nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa alienda kwenye semina ya kujifunza namna ya kusimamia uchumi wa dunia usianguke..na kwa hiyo kwenye hiyo semina kulikuwa kama kuna majadiliano namna ya kuendesha uchumi wa dunia kwa mafanikio baada ya misukosuko inayotokea sasa ya uchumi wa dunia hasa bara ulaya na Amerika...kwa maana hii si kwamba Prof Lipumba alikuwa anashauri bali alikuwa anajifunza na kujadiliana na wanasemina wenzake.
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Alipata fellowship kwenye taasisi ya FED.
   
 8. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
 9. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  waTZ hatupendani, ndio maana ni watu wa kulalamika tuuuuuuuuuu,
  na inakua rahisi kutawaliwa na wageni. mpe credit yupo juuu
   
 10. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  hata kama mTZ kafanya kitu kidogo, tum support ndg zangu. hizi sarakas za ndani ndio tukomaee
   
 11. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  mTZ wa kizamaniiiiiiiiiii. ndio maana zinakuja dhana sisi ni wavivu, hatuwajibiki na mengine mengi ya kuturudisha nyuma. BADILIKAAAAAAAAAAA
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Hahaahaaa!! Kweli nabii hakubaliki kwao...semina miezi nane..
   
 13. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Acha chuki binafsi sasa kama wewe thomaso na umeshindwa kutomasa kwenye google utasaidiwaje wakati una kiburi cha kutotaka kuamini? Muulinze Katibu wenu mkuu(SLAA) alikwenda kumpokea. Manake yeye(SLAA ) akienda Karatu akarudi mnasema alikuwa Ujerumani na mnakwenda kumpokea. CHADEMA bwana wasanii kweli, mara mtembeze bakuli kuomba pesa za kampeni.
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Achana nae huyo angefurahi kama angesikia SLAA ankuja kutoka Karatu tukampokee, kumbe hujawajua CHADEMA.
   
 16. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Huna lolote!!! Umeiona mingi kwa kupiga hesabu za ulinganifu kiposho. ona semina elekezi ya gurudoto, haikueleweka! mpaka kesho serikali ni mkorogo mtupu.
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Jamaa alifadhiliwa kwenda kusoma!! CUF acheni kujipa ujiko.
   
 18. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa ritz. Alistahili kuwa chadema huyu jamaa huko cuf ni kulemaza ubongo tu
   
 19. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Una maana kichwa cha panzi mkuu?!!!!! manake chama chake kutumia m150 kumpokea kuna kichwa hapo?
   
 20. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  I
  Kama JF ingekuwa na refa yaani wewe ungelimwa red card 3 bila maelezo,sasa SLAA anaingiaje hapa?wewe inaonekana ni mzigo hata kwa familia yako.
   
Loading...