Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AMARIDONG, Mar 14, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  BWM ANATEGEMEA KUONGEA MCHANA HUU PALE HABARI MBELE YA WAANDISHi WA HABARI KUTOKANA NA TUHUMA ZA KUMUUA JKN

  source OFISI YA BWM

  ==========
  UPDATES


  WADAU NIMEPENYEZEWA HABARI KUWA BMW HATAONGEA NA WAANDISHI TENA KWANI WASHAURI WAKE WAMEMUAMBIA KWA POLITICS MOVE SIO VIZURI KUJIBU

  Nafikiri amepima upepo ila tungoje labda kutakuwa na taarifa maalumu leo
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  picha inaendelea yetu macho na maskio.!
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Amelianzisha mwenyewe ..... acha wamtoboe macho....
   
 4. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hana huo ubavu.
   
 5. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Can't wait.
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  muuaji wa Nyerere

  1.pamoja na ukorofi wooote alionao Mkapa hajawai kumkosoa wala kumgomea Kikwete kwani anaelewa JAKAYA ataruhusu prosecution yake

  2.Mkapa ndiye aliyemtaka Kikwete azuie mjadala wa kujivua gamba wakati Kingunge alipoanza kuongea dhana ya magamba ndani ya mkutano.Mkapa alielewa wazi Kikwete angelazimishwa kuachia uenyekitu na dhahiri kikwete angemlaumu Mkapa kwa kutompenyezea habari mapema na hivyo kusababisha apoteze uenyekiti wa ccm chini ya kivuli cha kutenganisha kofia.

  3.Mkapa asihoji uhalili wa Vicent=Nyerere family kwani naye amelea watoto wa Mramba.

  4.Baada ya kifo cha nyerere nchi iliuzwa kwa kasi ya ajabu
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  kwa kuwa tulikuwa tunahisi alifanya hivyo,
  na sasa mtoto wa mwl. amesema alifanya
  je atatuambia nini ili tumwelewe.
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkapa ndiye muuaji wa Nyerere,kamwe hawezi kuongea na waandishi wa habari kuhusu hilo anajua ndio utakuwa mwanzo wa matatizo mazito
   
 9. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kasheshe! jambo lamtoa nyoka pangoni sasa
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  siioni 'like'

   
 11. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu Mkapa anastahili kupigwa mawe popote anaponekana, Baba wa Taifa alimkosea nini mpaka amfanyie unyama huu?
  Huyu Mkapa ndio adui wetu # 1 watanzania
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  naungana na wewe mkuu.

   
 13. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,170
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  Asisahau na maelezo ya EPA,KIWIRA na ufisadi mwingine alofacilitate!
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  'like'

   
 15. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mbana tangu ya UFISADI hajajitokeza. Hatutamuelewa kamwe.
   
 16. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Naona ameingia sasa kwenye 18 za wanamapinduzi, hizi ni habari njema kwetu. It will be aired in the screens. We will see his flaws today.
   
 17. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kesheni mkiomba
   
 18. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Aje atueleze kwa nini alimuua Babu yetu halafu akajitajirisha na matofali ya dhahabu, kiwira n. k:hand:
   
 19. s

  sawabho JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Yangu macho na masikio. Lakini kwa nini hii kitu isemwe muda huu?
   
 20. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Patamu hapo.....get me the popcorn!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...