JF Male Politician Of The Year 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Male Politician Of The Year 2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Superman, Mar 7, 2012.

?

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Male Politician Of The Year 2011"?

Poll closed Mar 9, 2012.
 1. EMT

  23 vote(s)
  40.4%
 2. Mchambuzi

  34 vote(s)
  59.6%
 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Piga kura yako ya "JF Female Politician Of The Year 2011" hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/231099-jf-female-politician-of-the-year-2011-a.html

  Wana Jamii

  Baada ya Mchakato wa Kura za maoni Kumalizika, Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) imepitisha Majina ya Wagombea Watakaoingia Fainali na Kupigiwa Polls kwa Kuzingatia Sheria za Uchaguzi; Kanuni na Taratibu.

  Ili kuuelewa mchakato ulikoanzia, tafadhali pitia uzi huu:
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/230046-jf-m-and-f-politician-of-the-year-2011-competition-2.html

  Washindi waliopatikana sasa Watashindanishwa kwa Polls/Kura ili kupata Mshindi wa kila JF Male Politician - 2011.


  Majina yaliyopitishwa kupigiwa kura ni:

  JF Male Politician Of The Year 2011 ni:

  1. EMT
  2. Mchambuzi


  Tafadhali piga kura yako kwa yule unayedhani anafaa kuwa
  JF Male Politician Of The Year 2011 kwa kuzingatia vigezo vilivyotajwa:
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/230046-jf-m-and-f-politician-of-the-year-2011-competition-2.html

  Ili kuleta raha na changamoto ya Ushindani - kampeni za kuwapamba wagombea na kuwapigia debe kwenye PM kwa members mbalimbali au katika uzi huu inaruhusiwa.

  NB: ID zitakazopiga kura na kuhisiwa kuwa zinachakachua kwa maana ya ID Mpya kabisa au ID mfu ambazo si active kwa kipindi kirefu hadi kipindi hiki cha kura zote zitaondolewa.

  Uamuzi wa Tume Utakuwa Wa Mwisho.

  Signed & Sealed:

  [​IMG]
  Superman
  Chairman - JEC

  [​IMG]
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Vituo vimeshafunguliwa!
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ..................????????????????????????
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Vote for Mchambuzi kwa category hii,
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kuna MCHAMBUZI na MTAMBUZI??
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Yes kuna Mchambuzi na Mtambuzi lakini aliyependekezwa na anayepigiwa kura ni Mchambuzi.
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  vote for EMT
   
 8. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  How can you replace quick-witted, vibrant members like Mwanakijiji and Kiranga with such less known names of EMT and Mchambuzi? The nomination process is redolent of irregularities and glaringly corrupt, so to speak.
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mtambuzi kakaa ki MMU zaidi...
   
 10. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  mchambuzi=anatoa hoja za siasa zaidi hasa jukwaa la siasa
  Mtambuzi=anatoa au kuchangia hoja za mahusiano,mapenzi na urafiki zaidi,huyu anapatikana hasa jukwaa la mmu.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,779
  Trophy Points: 280
  those are legends..
   
 12. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mie sielewi haya majina wanatumia mchakato gani kuyapata ili yapigiwe kura
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hawa watu wamekuwa nominated au mwandaaji kawachagua?

  Kama wamekuwa nominated, basi tuendelee na kura.

  Go, Go, Go EMT
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Kongosho we jinsia gani?
   
 15. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
 16. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,557
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Mchakato mzima haukuwa na principles tangu mwanzo.Upigaji kura ulikuwa ni holela usio na mwongozo wowote.ID moja imepigia kura idadi yoyote ya nomenees.Wengine wamepigia mtu mmoja,wengine wawili,watatu,wanne na kuendelea.Sheria ya uchaguzi haijatamka wazi idadi ya washindani wanaotakiwa kutajwa kwenye kila category na member mmoja.Kura zote zilizopigia idadi yoyote ya nomenees zimehesabiwa kuwa sahihi.Wengi hawajashiriki zoezi la awali la kupiga kura kwa kuwa halikuwa la kueleweka.
   
 17. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mkizungumzia mambo ya uchaguzi mnauchoma sana moyo wangu, kwasasa simuamini mtu, nakumbuka mimi na watanzania 62% hatukumchagua Rais wa sasa, lakini matokeo yalikuja tofauti kabisa. Hivyo nasikitika kwamba sitashiriki uchaguzi huu mpaka nijiridhishe kwamba Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
   
 18. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kupinga kura mara ngapi nimeahapiga mara moja?
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  I vote for EMT
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Na mimi nimekopi kwako mkuu.

   
Loading...