Kama nimekichoka chama kwanini mniwekee zengwe na kutishia usalama wangu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama nimekichoka chama kwanini mniwekee zengwe na kutishia usalama wangu??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Mar 14, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Mimi chama nimekichoka na sikipendi kwanini mtishie maisha yangu na kunifanya mtumwa wachama hicho??sasa hapo uhuru wangu uko wapi?Nanichukuliwa kama nimehaini kwa sababu ya mitizamo na itikadi hivi kweli CCM mnatupeleka wapi watanzania wa nchi hii??Lichama nimelichoka mnaning'ang'aniza kuwepo!!Nikitoka kibabe au ikisemekana nataka kuacha unasikia naitwa dodoma..............................!!
  Ukijifanya mbishi utajikuta uko Aporo India!!Sasa nini??
   
 2. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 10,017
  Likes Received: 10,209
  Trophy Points: 280
  Baki hukohuko kwenye hilo unaloliita lichama maana mmeshafanya mauaji makubwa sana usije ukaleta hiyo tabia kwenye vyama vingine vyenye lengo la kumkomboa mtanzania. Mtakoma kunywa damu za watu. Hiyo ndoa ndio inakufaa tu.
   
Loading...